machangudoa na polisi kumbe damu damu!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
mimi sipendi kusema sana ila kwa hili napenda kuweka wazi kwanini kova anaitwa shemeji !!!!mzee kova kuna hawa polisi wako wanakuwa wakilinda sehmu za strehe ama ikitokea fujo wanaitwa mwisho wa siku wanaondoka na machangudoa wakijidai wanaondoka nao kumbe wanaishia kutembea nao!!!!!

hivi juzi jumamosi kuamkia jumapili pale maisha nilishikiwa na presha ya kifua pale kulipotokea dada mmoja akapigana sana na mwenzake na kurushiana vyupa kuishia watu kukimbia!!!!wakaitwa polisi wakaja na tax..walipokuja wakajifanya kuongoza na mwenzao walipoonyeshwa mmoja akajifanya anauliza hawa wanalipa bosi waende kufanya nini!!!wawili wakiwa wamelewa huku wameshirika bunduki kubwa tu na huku amemshikilia mwanamke mmoja mwenzie akasema njo na kwangu!!!!mara akashuka baba yake duli sykes masikini kumbe ni mwanamke wake akwafuta polisi na kuwalilia na kusema jamani jamani jamani jamani niachieni watotozangu niachieni jamani hata

hata mimi baba saidi jamani hamnijui jamani?????nilishtuka maana huyo mwanamke alikuwa ametoka kuto.....na kushushwa na gari muda si mrefu...sasa huyu amemjuaje!!!!kumbe mtoto wa kila siku baba duli akapiga magoti yule babu na kuongea mambo yasiyo kiungwana jamani niachieni nikamfir%%^^&*((( niliuzunika sana .mwisho aliachiwa na kuondoka nae huku yule askari akilalamika,,,mwsho akaondoka na mwingine wakindani ya bajaji!!!!

kova sio wao wanakuchafua watoto wako kaka...kumbe changudoa damudamu na ""kova"""

askari jieshimuni namsicheze na wanawake mkiwa na silaa na huku mmelewa au kunywa pombe
 
du! hii sasa shuhuli nzito lkn mapolisi ndiyo zao mwisho wa kazi magonjwa wanawapelekea wake zao waacheni wanapanda na kukivuna hichohicho
 
Stori haieleweki. Hivi ulijifunza MWANDIKO na mazoezi ya IMLA mlipokuwa Std I ??
 
Back
Top Bottom