Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

umoja ni nguvu utenganino ni dhaifu machali na wewe ungetoka nje hutaweza umetumwa na James Mbatia
 
Nimefuatilia mchango wa mbunge wa kasulu mjini mosses machali wakati anachangia muswada wa sheria kwa ajili ya mchakato wa katiba. Amechangia vizuri na kwakweli amenifanya nione uamuzi wa chadema na baadhi ya wabunge wa nccr akina kafulila na mkosamali haukuwa na busara wala mantiki. Machali amepinga muswada na watanzania tumesikia hoja zake. Huu upinzani wa kususa mijadala naona kama ni kupotoka. Nawashauri jamani hata kama mnajua ccm wamesha amua muhimu kuonesha watanzania mawazo yenu badala ya kususa kila kukicha. Ni maoni yangu. Napenda kuwasilisha

Kitendo cha CDM ni sahihi zaidi kwa mazingara yaliyokuwepo.

Mbaya zaidi ni pale ambapo hoja yako haizingatiwi na unajua hivyo lakini unabaki na kushiriki katika kupitisha hoja usiyoiafiki kwa kutumia nguvu. Kubaki ni sawa na kushiriki kateka tendo hilo ovu. Kutoka ni kujitenga na kujihusisha na uamuzi usioukubali.

Wabunge waliobaki humo bila wao kukubali uhalali wa yanaotokea ni sawa na anayeona binti yake anabakwa na yeye akiwa sehemu ya ubakaji huo, haridhiki moyoni lakini ni mwoga wa kuchukua hatua.

Kitendo kilichofanywa na bunge hili litabaki katika historia na historia litawahukumu. Kwangu mimi ilikuwa ubatili mtupu


 
Nimefuatilia mchango wa mbunge wa kasulu mjini mosses machali wakati anachangia muswada wa sheria kwa ajili ya mchakato wa katiba. Amechangia vizuri na kwakweli amenifanya nione uamuzi wa chadema na baadhi ya wabunge wa nccr akina kafulila na mkosamali haukuwa na busara wala mantiki. Machali amepinga muswada na watanzania tumesikia hoja zake. Huu upinzani wa kususa mijadala naona kama ni kupotoka. Nawashauri jamani hata kama mnajua ccm wamesha amua muhimu kuonesha watanzania mawazo yenu badala ya kususa kila kukicha. Ni maoni yangu. Napenda kuwasilisha

Soma hotuba ya waziri kivuli tundu lissu. Hakuna anayeweza kuchangia zaidi ya pale. Usiwe mvivu
 
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee, ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
machali mwenyewe ni msaliti hakutoka na wenzake wa NCCR mageuzi atamwendesha puta nani kama sio NCCR na kumtetea James mbatia kama kibaraka wake

Kweli wewe fofofo. Chama chake na mambo aliyowasilisha bungeni vina uhusiano gani?
 
CCM imefikia Elastic Limit or YIELD POINT, no more CCM kilichobaki ni kuforce kubakia madarakani
 
Ndugu zangu,

Nimeangalia TBC1 usiku huu. Nilikuwa na kiu ya kufuatilia kilichoendelea bungeni leo kwenye suala la Katiba. Maana, kuna wengi miongoni mwetu, kutokana na majukumu mengine, tunashindwa kufuatilia 'live' kinachoendelea bungeni.

Na hakika, TBC1 bado ni chombo cha habari cha umma kinachoheshimika. Naandika kuwaatadharisha TBC1, kuwa heshima yao inaweza kushuka kama hawataonyesha umakini kwenye mambo ya msingi ya kitaifa. Ona leo, kuhusu mjadala wa Muswaada wa Katiba, wabunge waliounga mkono hoja walipata coverage kubwa, mfano, tuliwasikia kwa sauti zao Ole Sendeka wa CCM na Hamad Rashid wa CUF.

Ilipofika zamu ya Mbunge Machali wa NCCR Mageuzi, basi, mtangazaji wa TBC1 ndiye aliyetwambia kwa ufupi sana alichosema mbunge huyo. Umma haukupewa nafasi ya kumsikia Mbunge Machali kwa sauti yake mwenyewe!

Tuwe wakweli kwa nchi yetu, kuwa ni mambo kama hayo ndiyo yenye kuchangia kupungua kwa imani ya umma kwa mchakato mzima wa kuratibu Katiba. Hapa kuna mawili, ama TBC1 wanashindwa kufanya kazi yao vema ya kuhabarisha umma au wanafanya kazi kwa maelekezo rasmi.

Ona, iweje habari ya ‘ abrakadabra’ ya misukule ya Iringa ipate nafasi kubwa kuliko sauti ya Mbunge wa NCCR Mageuzi anayetoa maoni yake kuhusu Muswaada wa marekebisho ya Katiba? Jambo muhimu kabisa kwa nchi yetu kwa wakati huu. Tujisahihishe ili tusonge mbele kama taifa moja.

Maggid,
Iringa,
 
Kitendo cha kutoka nje wabunge wa CDM, kimewafanya wabunge wa magamba hatu ule mtinod wao wa kugonga meza umepungua sana, Nwapa CDM bi up kwa hilo maana kutokana na hili hata uchakavu wa meza utapungua sana.
 
Kinachonishangaza, wale wanaojiita watetezi wa wanyonge kama akina SITA mbona hawajaongea chochote kuhusu ubaya wa mchakato huu. Mie ndo napozidi kutokuwa na imanai na hawa "wazalendo"
 
wadau naomba tumpe hekoo kubwa sana mbunge wa NCCR ndg Moses Machali kwa kuukataa muswada na namna ya uwasilishaji wake ulivyofanyika bungeni, amekataa kwa kutumia nafasi ya ubunge na sio kukimbia bungeni, amejenga hoja na kuweka msimamo wake mahali ambapo wananchi wake wamemtuma pa kusema

CHADEMA NAO WALISTAHILI KUFANYA ALICHOFANYA MACHALI
 
Huyo spika wa bunge anna makinda hivi huyu mama waliomshawishi agombee uspika ni wakina nani haswa!!!! maana kichwa cha huyo mama kimejaa pumba za mpunga hata ng'ombe ukimpa hali , na hata akila ni uroho wa huyo ng'ombe. muuache ashabikie ila iko siku ataona huo ushabiki wake.
 
Back
Top Bottom