Macbook pro inahitajika na Ps3

Nenda Elite JM Mall Samora au Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza pale Mikocheni,lakini jiandee na kuanzia 3 M
 
guys nahitaji za dili bwana kama huna funga bakuli
wapi uliandika unataka za dili?mbona umekosa busara, wewe umeuliza mwenye nayo,mtu anaweza kuwa nayo au akaona mahali unaweza kupata,ningekuuzia ya kwangu lakini naona unataka ya dili basi subiri
 
Dah! Kazi ipo! Ni bora tu useme unataka ya "wizi", kwa maana kila mstaarabu anayetaka kukusaidia unamwambia afunge bakuli! Hapa JF sidhani kama utapata watu wa namna unayoitaka, bahati njema!
 
Ps3 kama una 750000 nitafute brand new
Na mac pro book ngoja nikuulizie kwa wadau nicheki kwa no hii
0714519880
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom