Mac to Windows software

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
544
24
Hivi karibuni nimenunua MacBook baada ya kuwa mtumiaji wa PC kwa muda mrefu.
Pia nimenunua Western Digital external hard drive bila kujua ilikuwa formatted for Mac.
Naomba msaada wa kujua software ninayoweza kuitumia kuniweza kuona mafaili ya Mac kwenye kompyuta inayotumia Windows.
 
Kama unajaribu kuiformat drive ili uweze kuitumia kutoka Mac na Windows jaribu kuangalia hapa

Possible to format drive for Mac and Windows? [Archive] - AppleInsider

They are talking about creating a Windows and a Mac partition on the same drive, you may not necessarily be able to move files between these two partitions (I know with Ubuntu you can move files between Ubuntu and Windows partitions, not sure about Macs)

As always, back up your data before any hieroglyphic acrobatics.
 
Last edited:
Format drive as Fat32, itaonekana kwenye Mac na Windows.
 
Back
Top Bottom