Mac book operating system

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
BIG MISTAKE,INSTALL WIN 7 KWENYE MAC BOOK,NAFIKIRI ILIKUWA MISTAKE KWA SABABU SIKUWA NA SKILL NZURI YA KUTUMIA LINUX,TATIZO SOUND IMEPOTEA LAKINI IF U PLAY UNAONA KABISA INAPLAY LAKINI SOUND HAITOKI,HALAFU WIRELESS SIPATI KWA SABABU SIPATI DRIVER YA NETWORK CONTROLLER,NAOMBA MSAADA WAJAMENI:israel:
 
kwani ikistall mambo ya kagoma si unaweza ukafomat na original mac cd alafu uanze upya fanya hivyo kwanza uone kama itatulia
 
Boot Camp: Windows 7 installation frequently asked questions
Ni bora ungetuinstall Mac OS kwanza then ukatumia Boot Camp kuinstall Windows 7 pia hakikisha Mac yako sio one of these:

iMac (17-inch, Early 2006)
iMac (17-inch, Late 2006)
iMac (20-inch, Early 2006)
iMac (20-inch, Late 2006)
MacBook Pro (15-inch, Early 2006)
MacBook Pro (17-inch, Late 2006)
MacBook Pro (15-inch, Late 2006)
MacBook Pro (17-inch, Early 2006)
Mac Pro (Mid 2006, Intel Xeon Dual-core 2.66GHz or 3GHz)

Hakuna sababu ya kuinstall bila Bootcamp, utapunguza matatizo sana.

Kama hautaki Bootcamp fuata maelekezo haya:
http://derekhat.com/install-vista-on-a-macbook-without-bootcamp/
 
Back
Top Bottom