MABWEPANJE>Tunang'oa Jino Na Kucha Bila Ganzi.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Tangazo Tangazo.
dispensari yenu Nzuri iliyopo Mabwepanje Inawatangazia kuwa Sasa wana huduma zifuatazo..
>Wanang'o Jino na Ukucha bila ganzi kwe gharama ya Uenyekiti wa Mgomo.

>Wanatoa pumzi kwa wafanya busnes wa Madini kutoka Machenge kule.
karibun Wote Usafiri kwa Wagonjwa wote ni kuanzia Leaderz ucku mtakuta gari tinted and no phone Namba car...
Welcome All.
 
Hiyo dispensary ni ruksa tu kwa hii serikali ya awamu ya 4 tu, ktk hili wanajiita wao ni sikivu
 
Back
Top Bottom