Mabwepande hakukaliki, viwanja sokoni

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Vile viwanja vilivyogaiwa kwa waathirika wa mafuriko ya Jangwani na sehemu nyinginezo za Dar vimeanza kuuzwa,JF imebaini.Wauzaji hao ni wajanjawajanja.Huuza bila kuandikishiana na mnunuzi mbele ya Serikali bali binafsi tu.Muuzaji huandikishiana Mkataba wa mauzo na Mnunuzi na kushuhudiwa na Wakili tu.

Sababu inayoelezwa kusababisha mauzo ya viwanja hivyo ni kuwa Mabwepande hakukaliki.Waliopewa viwanja wamesahaulika kabisa.Hakuna miundombinu yoyote inayovutia.Kwa watu wa hali ya chini kuuza ni bora zaidi.Ni aheri kupanga.Serikali inapigwa chenga ya mwili.Mwenye masikio na asikie...
 
kama una mkwanja ni kuwahi plot mapema maana zishapimwa hizi.
 
Du serikali bwana haaaaaaaaaa safi sana hao wakazi wa mabwepande kwa kuuza sema nawashauri hizo 20m wakanunue sehemu nyingine hata 20m*20m wajenge kibanda!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom