Mabucha tofauti......

kwani mnashindwa nini kusema kuwa hii nyama ya leo sio tamu au mapishi ya leo hakuna kitu au hukuweka viungo vya kutosha mpaka tuanze kukashifiana hujui kupika wala hujui mapishi au ladha ya nyama mbaya au imekonda

mimi nauliza swali hili..
Kama nikila kwako na nikashiba na wewe ukafurahi..
Je ukigundua nilikula chips njiani,utanihukumu vipi?
 
mimi nauliza swali hili..
Kama nikila kwako na nikashiba na wewe ukafurahi..
Je ukigundua nilikula chips njiani,utanihukumu vipi?

Mkuu wanachotaka ni kushiba na ushukuru kuwa mapishi yalikuwa mazuri hawatajali kama ulipita njiani ukala chipsi mayai wala mihogo ya kuchemsha wanachojitaji wao ni kujua kuwa umekubali mapishi yao
 
kwani mnashindwa nini kusema kuwa hii nyama ya leo sio tamu au mapishi ya leo hakuna kitu au hukuweka viungo vya kutosha mpaka tuanze kukashifiana hujui kupika wala hujui mapishi au ladha ya nyama mbaya au imekonda
Kwa kuanzia...wengi wenu hampendi kukosolewa au kuambiwa mmekosea. Yani kuwaambia hivyo kunaweza kuanzisha moto mkali kuliko wa petroli...
 
mimi nauliza swali hili..Kama nikila kwako na nikashiba na wewe ukafurahi..Je ukigundua nilikula chips njiani,utanihukumu vipi?
Well hakutakua na tatizo ili mradi na mimi mchana nilishakula karanga zangu za haja sehemu....
 
Kwa kuanzia...wengi wenu hampendi kukosolewa au kuambiwa mmekosea. Yani kuwaambia hivyo kunaweza kuanzisha moto mkali kuliko wa petroli...

Aise Lizzy mimi iko tayari kukosolewa na kuambiwa ukweli wangu hapo nitajua namna ya kuurekebisha maana hapo najua najenga sio nabomoa
Kuambiwa kuwa nyama yako sio tamu niko tayari ili niongeze ufundi wangu wa kuipika au kuambiwa nyama yako jana sikushiba hapo natafuta namna ya kuongeza idadi ya kilo ili uridhike
 
Aise Lizzy mimi iko tayari kukosolewa na kuambiwa ukweli wangu hapo nitajua namna ya kuurekebisha maana hapo najua najenga sio nabomoa Kuambiwa kuwa nyama yako sio tamu niko tayari ili niongeze ufundi wangu wa kuipika au kuambiwa nyama yako jana sikushiba hapo natafuta namna ya kuongeza idadi ya kilo ili uridhike
Sasa wewe ni mmoja wa wachache....wengine hata wakiunguza wanataka wasifiwe.
 
mkuu wanachotaka ni kushiba na ushukuru kuwa mapishi yalikuwa mazuri hawatajali kama ulipita njiani ukala chipsi mayai wala mihogo ya kuchemsha wanachojitaji wao ni kujua kuwa umekubali mapishi yao

mkuu lizzy hayuko hivyo,si unamuona?????
 
Lizzy ana yake mkuu anataka na yeye apitie huko ale mihogo ya kuchemsha ndio aje kukupikia nyama sasa hapo shuhudia nyama inayopikwa na mtu aliyeshiba
Bana mi nimesema kama mwenzangu anapita magengeni kwanza ndo ntafanya hivyo...otherwise namsubiria tule wote tukiwa na njaa tushibe na kiridhika pamoja.
 
Bana mi nimesema kama mwenzangu anapita magengeni kwanza ndo ntafanya hivyo...otherwise namsubiria tule wote tukiwa na njaa tushibe na kiridhika pamoja.

Kwani nikipita nikala chipsi kuku mtaani na then nikaja kula nyama yako kuna shioda gani si unataka tushibe wote na tunaanza mwanzo mwisho mpaka nishibe na wewe
 
Lakini pia point ya msingi kuhusu nyama ni CHAKULA so nyama ipo ili watu WALE kisha WASHIBE..Ndo maana unaposikia njaa mwili unahitaji KULA na sio kula chakula cha aina gani!Aina ni UTASHI na uhitaji ni CHAKULA!
 
lizzy ana yake mkuu anataka na yeye apitie huko ale mihogo ya kuchemsha ndio aje kukupikia nyama sasa hapo shuhudia nyama inayopikwa na mtu aliyeshiba

lizzy kwake ni tit for tat...
Ni fahari wawili kwenye zizi moja....
 
Back
Top Bottom