Maboresho tbc1

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Zile 'subtitle' zinazopitishwa wakati wa taarifa ya habari zinakera, hazina mpangilio, na hazina updates, nimeangalia subtitle zinazopitishwa kwenye kipind cha bang angalau ni nzuri, font size, speed, mwonekano mzuri pia. Nashauri huyu jamaa anaeziprogram ahamishiwe kwenya kipind cha taarifa ya habari ili ivutie. Tbc1 has a very long long way to go
 
tbc1 ni chombo cha taifa lkn inaonekana kama chombo cha ccm hakina mvuto kabisa, haina ubunifu. Nadhani tatizo ukirimba, kama ilivyo kwa ttcl nk.
 
Mijigamba hiyo,,, mi cjaangalia tangu 2004...bora naangalia movie na channel zenye akili inatosha
 
Back
Top Bottom