Mabomu yazidi kutengenezwa kidato cha nne

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Kuna mwanafunzi yupo kwenye mtihani wa biology muda huu saa 9 na robo amenitumia maswali nimsaidie, amedai waliruhusiwa kuingia na simu na msimamizi wao. Hivi hawa ni wasomi wajao, au tuna mpango wa kujilipua wenyewe? Au wanatekeleza ilani ya magamba ili ionekane watu wanafaulu
 
Msaidie tu. Kakuamini kwa kuwa anajua una uwezo huo wa kutegua 'mabomu'. La sivyo asingekuomba....
 
Kwa hyo na we umemsaidia au?

nimemsaidia, sasa kama wote wameambiwa hivo na wengine wana cmu zenye net kwa nn usimsaidie m2 anaekufahamu na kukuamini kuwa atapata majib ya ukweli? Hata nikimnyima haisaidii kwani uozo umeshatengenezwa ni kuuzoa tu! Kuna m2 aliweka sired moja kwamba wasimamizi wameaswa kuwasaidia wanafunzi,nahisi hii ni stratergy mojawapo!
 
lakini ukweli ni pale pale! Hili taifa linahitaji mabadiliko ya kiuongozi na kifikra! Watu kila kitu wanataka kuingiza kwenye campeni zao hata vya kiutendaji,hatutafika. Ndo maana hata wenye degree za kwenye mtandao wanapewa kuongoza nchi na kujiita ma dr wakati wameishia drs la nane.
 
Back
Top Bottom