mabomu yanapigwa arumeru

Wangekuwa wanaanza kwanza kuwateketeza kwanza wawekezaji...halafu ndiyo wanaelekea mashambani kugawana.
 
hawa wanaoitwa wawekezeji wamewekeza nini kwenye hayo mashamba?uwekezaji wao umewasaidia vipi wakazi wa arumeru?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Narudia tena taarifa za uvamizi jana usiku zimenidokeza kuwa ni eneo la MAMVI.ndo maana askari wana quik responce
 
Haya yote yana mwisho wake.
Poleni sana wanaMeru kwa yote haya, msife moyo kwani haki haijileti bali inapiganiwa!
 
Wacha watu wakajigie maeneo yao. Juzi walivamia shamba la doly mpaka mama wa kizungu akaomba asiuawe, kwani yupo tayari wagawane ekari tatu tatu, na yeye akagawiwa ekari tatu.

Wananchi wa Meru hawana mchezo

mkuu Mungi ktk harakati hii,kwenye ardhi iliyotumiwa vema kiuchumi kama mashamba ya maua sitaunga mkono lakini kwa case ya Doly Estate nipo tayari kupambana mstari wa mbele ardhi irudi kwa wananchi!i like the move!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom