- Thread starter
- #101
hawaitaji kuambiwa wanawajua na hao waliokamatwa pia ni uamsho,kwani unajua uamsho ina watu wangapi?hicho kikundi kinafanya mikutano msikitini kina watu wengi kuliko kawaidahivi wewe ni polisi mzuri sana ??? Wale watu 30 waliokamatwa na polisi wakafikishwa mahakamani wameonewa ?? Wewe kumbe unawajua waliochoma kumbe ni uamsho ??? Tafadhali fanya haraka ufike mahakamani uwaokowe hawa watu 30 na badala yake uiambie polisi iwakamate uwamsho