Mabomu ya machozi yanarindima Kirumba Mwanza

Bila kupata barua ya salamu toka kwa Occampo Polisi wa Tanzania watamaliza watu.
 
mbona huyo mmakonde b.w.e.g.e sana,akubali tu kua yu mjinga kwani hakuna mwenye akili timamu anaweza poromosha matusi jukwaani kwenye halaiki ya watu.
 
Duh masikini tanzania yetu, magamba wanalazimisha kuitawala kibabe ata km hatutaki watutawale, aya bana
 
Back
Top Bottom