Mabomu ya machozi: Tafiti zifanyike...............

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Mi nadhani kuna haja kubwa ya kufanyika tafiti za uhakika kuhusu madhara yanayosababishwa au yatakayosababiswa kwa wananchi kutokana na mabomu ya machozi hasa kwenye suala zima la Afya. Askari wetu wamekuwa wakijipigia ovyo haya mabomu. Na wakati mwingine waathirika sio wale ambao wamelengwa moja kwa moja. mfano mbeya mabomu ya machozi yametupwa mpaka ndani ya vituo vya afya (angalia picha) na kusababisha wagonjwa kukimbia wodi, wauguzi kupatwa na presha wakiwa kazini, huu ni unyanyasaji mkubwa. Watu kama hawa serikali inabidi iwafidie kwa madhara ambayo watakuwa wameyapata.

vitanda.JPG
Vitanda vilivyokuwa vikitumiwa na wangonjwa katika Zahanati ya Ipinda, iliyopo Mwanjelwa jijini Mbeya vikiwa wazi baada ya wagonjwa kukimbia mara baada ya bomu la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.

azirahi.JPG
Mgonjwa aliyekuwa akitibiwa Zahanati hapo akiwa amezirai baada ya bomu la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.

baada ya kupata nafuu.JPG
Wauguzi waliozirai wakiwa nje ya Zahanati mara baada ya kutibiwa

bomu.JPG
Mganga Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni mmiliki wa zahanati hiyo akielezea jinsi bomu la machozi lilivyopingwa.

ndani.JPG
Muuguzi akionesha eneo ambalo bomu la machozi lilipotua katika Zahanati ya Ipinda, eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya.

kigae.JPG
Mtaalamu wa masuala ya maabara katika Hospitali ya UHAI BAPTIST Dk Ngangele Lisukile akiwa ameshika kigae kilichodondoka mara baada ya bomu la machozi lililopingwa hospitalini hapo majira ya saa 5:30 asubuhi.

Haya ni yale tu yaliyotokea mbeya. Ni uhakika na sehemu zingine yapo zaidi haya. Kwahiyo mi nadhani tafiti ziwe zinafanyika kujua madhara ya haya mabomu ya machozi na watu wawe wanafidiwa.
 
Haya ndio madhara ya kushabikia vyama vya kipuuzi kama CDM, fujo zenu zinawatesa hata wagonjwa mahospitalini.
 
Hapa wala sio CDM wala CCM, Ni viongozi wetu kukosa utu na busara kwa jamii inayoiongoza. Kama we ni CCM na uliyoandika hapo ni kwa niaba ya CCM basi umeidhalilisha hiyo CCM.
 
Makada wa chama tawala ata reasoning yao inakuwaga na on sometimes off.
Kuna tatizo kushabikia CDM,FUJO ZIMEANZISHWA NA DOLA ILIYO CHINI YA CCM NA DOLA FUJO IMEWASHINDA WAKAITAJI MSAADA WA KUTULIZA FUJO
 
Kama ndio CCM wote mna mawazo kama hayo basi hicho chama kimeshakufa. Poleni!!!
 
Makada wa chama tawala ata reasoning yao inakuwaga na on sometimes off.
Kuna tatizo kushabikia CDM,FUJO ZIMEANZISHWA NA DOLA ILIYO CHINI YA CCM NA DOLA FUJO IMEWASHINDA WAKAITAJI MSAADA WA KUTULIZA FUJO

Sidhani kama ina haki ya kuitwa Dola!! Dola ni pale inaposimamia haki kwa maslahi ya taifa sio ya mafisadi. Labda iitwe Dorola. unategemea nini kama asilimia kubwa ya hao askari ni watoto wa wajomba, mashangazi, mashemeji........etc wa hao wanaojiita viongozi wa serikali ya Tanzania.
 
Mi nadhani kuna haja kubwa ya kufanyika tafiti za uhakika kuhusu madhara yanayosababishwa au yatakayosababiswa kwa wananchi kutokana na mabomu ya machozi hasa kwenye suala zima la Afya. Askari wetu wamekuwa wakijipigia ovyo haya mabomu. Na wakati mwingine waathirika sio wale ambao wamelengwa moja kwa moja. mfano mbeya mabomu ya machozi yametupwa mpaka ndani ya vituo vya afya (angalia picha) na kusababisha wagonjwa kukimbia wodi, wauguzi kupatwa na presha wakiwa kazini, huu ni unyanyasaji mkubwa. Watu kama hawa serikali inabidi iwafidie kwa madhara ambayo watakuwa wameyapata.

View attachment 41214
Vitanda vilivyokuwa vikitumiwa na wangonjwa katika Zahanati ya Ipinda, iliyopo Mwanjelwa jijini Mbeya vikiwa wazi baada ya wagonjwa kukimbia mara baada ya bomu la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.

View attachment 41215
Mgonjwa aliyekuwa akitibiwa Zahanati hapo akiwa amezirai baada ya bomu la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.

View attachment 41216
Wauguzi waliozirai wakiwa nje ya Zahanati mara baada ya kutibiwa

View attachment 41219
Mganga Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni mmiliki wa zahanati hiyo akielezea jinsi bomu la machozi lilivyopingwa.

View attachment 41220
Muuguzi akionesha eneo ambalo bomu la machozi lilipotua katika Zahanati ya Ipinda, eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya.

View attachment 41221
Mtaalamu wa masuala ya maabara katika Hospitali ya UHAI BAPTIST Dk Ngangele Lisukile akiwa ameshika kigae kilichodondoka mara baada ya bomu la machozi lililopingwa hospitalini hapo majira ya saa 5:30 asubuhi.

Haya ni yale tu yaliyotokea mbeya. Ni uhakika na sehemu zingine yapo zaidi haya. Kwahiyo mi nadhani tafiti ziwe zinafanyika kujua madhara ya haya mabomu ya machozi na watu wawe wanafidiwa.

Mbona SUGU hajapigwa na bomu? au nae alitimua kama MBOWE. Siasa bwana yaani SUGU nae anajihesabu kuwa ni mwanaharakati wakati watu wanaokwenda kumsikiliza huwa wanavutiwa na lafudhi yake ya kisanii. Katika watu ambao siwezi kupoteza kwenda kusikiliza ni SUGU. Pointi gani atatoa kama siyo majungu yake dhidi ya THT na Redio CLOUDS. anaboa huyu KILAZA ile mbaya. SHAI-ROSE hampi somo? akajitambua kuwa ni mheshimiwa aachane na kufoka foka?.
 
Wewe huwezi kumsikiliza ila wanambeya walikusanyika kwa wingi na kumsikiliza na kisha kumtii,so piga kimya
 
Hapa wala sio CDM wala CCM, Ni viongozi wetu kukosa utu na busara kwa jamii inayoiongoza. Kama we ni CCM na uliyoandika hapo ni kwa niaba ya CCM basi umeidhalilisha hiyo CCM.

Hivi SUGU nae ni kiongozi? au una maana gani? Kama nae ni kiongozi basi tuanze nae kwamba hana busara maneno gani yale alikuwa anayasema mbele ya wapiga kura wake? Kukashfu Jeshi la Polisi ndiyo busara hiyo. EBWANAE naikubali sana SERIKALI kwa jinsi ambavyo imeshashtukia CDM kuwa wanaendekeza upuuzi tu na kuachama nao wachonge then watajitathmini wenyewe kama uchochezi wao kwa wananchi una tija kwa maendeleo ya CHAMA chao na taifa kwa ujumla. Wananchi wala tusifikiri Serikali inawaogopa CDM , bali inawapuuza tu na kujikita katika kuwaletea wananchi maendeleo. Kama ingeanza kujibizana na hawa CDMA na yenyewe ingeonekana haifai. BIG UP JK, kimya kingi ni kilelezo tosha cha BUSARA nyingi ulizonazo.
 
Watu kama wewe mnafaa kufa kama Gaddaf! Na kwakweli ni afadhali mara 100% ya Gaddaf kuliko JK, CCM na serikali yake ya hovyo!! Miaka mingi CCM mlijivunia mwamko mdogo wa wananchi kwenye mambo yanayohusu taifa lao sasa wameamuka hawadanganyiki tena na ndio kifo chenu. SUGU ndio pekee aliyefanikiwa kuzima vurugu za Mbeya mjini baada ya mkuu wa wilaya, Vincent Balama, Mkuu wa mkoa, Abbas Kandoro, Kaimu kamanda wa polisi wa mkoa, na wanajeshi wa JKT kushindwa, sasa unaposema Sugu sio kiongozi sijui unamaana gani au unaongea tu kujifurahisha na kuukataa ukweli? Angalia kwenye blog ya Mbeya yetu Sugu alivyoweza kuushawishi umma wa wanaMbeya mjini kusitisha vurugu! Enzi za CCM kujivunia polisi, mabomu, magereza na risasi zimekwisha wananchi hatuogopi tena!! CCM itende haki sio kuleta ubabe ili amani na utulivu viwepo!!
 
Hivi SUGU nae ni kiongozi? au una maana gani? Kama nae ni kiongozi basi tuanze nae kwamba hana busara maneno gani yale alikuwa anayasema mbele ya wapiga kura wake? Kukashfu Jeshi la Polisi ndiyo busara hiyo. EBWANAE naikubali sana SERIKALI kwa jinsi ambavyo imeshashtukia CDM kuwa wanaendekeza upuuzi tu na kuachama nao wachonge then watajitathmini wenyewe kama uchochezi wao kwa wananchi una tija kwa maendeleo ya CHAMA chao na taifa kwa ujumla. Wananchi wala tusifikiri Serikali inawaogopa CDM , bali inawapuuza tu na kujikita katika kuwaletea wananchi maendeleo. Kama ingeanza kujibizana na hawa CDMA na yenyewe ingeonekana haifai. BIG UP JK, kimya kingi ni kilelezo tosha cha BUSARA nyingi ulizonazo.

Maendeleo gani unaongea ndugu au unataka kuleta ligi hapa. Kama kuna maendeleo wananchi wangekuwa wanalalamika kila siku. Hebu tutolee ukilaza wako hapa.
 
Back
Top Bottom