Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu ya gongolamboto (inatisha)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lukansola, Feb 21, 2011.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,420
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 38
  Nimesikia sasa hivi kwamba huko kitunda kuna utumbo wa binadamu unaning'inia kwenye waya wa umeme mpaka hivi sasa ninapoandika, ni habari inayonishangaza na nimeona niirushe kwa faida ya wanajamii wengine.

  SOURCE: Bonge wa Power Breakfast ya Clouds FM 07:40 AM EAT
   
 2. Emmado

  Emmado JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Duh! Hi inatisha sana.. . . Yan Gongo la Mboto imegeuka ''war zone''
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,977
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mabomu yametapakaa eneo kubwa la mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, taarifa kutoka Rufiji zinasema bomu kubwa limeokotwa karibu na mji wa Ikwiriri
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,510
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 48
  Ni kweli, upo karibu kabisa na home!
   
 5. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 16
  ndo amani tunayo hubiriwa kila cku! Nasi kimya kama tumelishwa limbwata vile! Yangu macho
   
 6. QIDAQA

  QIDAQA Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  With the kind of people we have in the GOVT na uzembe wao we should expect more of this crap
  people are dying,
  loss of property
  psychological effects on kids,
  starving women and childre
  what kind of generation are we trying to build?
  we should blame nobody when the time to reap comes.
  "LETS HAVE A SERIOUS GOVERNMENT IN PLACE.
  A GOVT THAT WILL TRY TO USE ALL THE EXPERTS WE HAVE HERE TO MAKE THINGS RT.
  A GOVT THAT HAS THE INTEREST OF THE PEOPLE
  A GOVT THAT SHALL BE RESPONSIBLE FOR EVERYTHING THAT HAPPENS
  A GOVT THAT CARES FOR THE COMMON MWANANCHI"
  if i continue i might wep
  gotta go
  sob!sob! sob!
   
 7. A

  Aine JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,616
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nami nimeisikia hiyo taarifa ya Bonge, utumbo hadi leo? yaani hadi mwili unasisimka, poleni jamani ndg zetu wa Gongo la Mboto, Mungu awape uvumilivu na kusahau
   
 8. m

  mzambia JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 868
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Lkn ndiyo serikali yetu hii tutafanyaje? Tulipewa nafasi ya kuiondoa madarakani mwaka jana tukakataa na sasa waache tu watukomeshe
   
Loading...
Similar Threads - Mabomu gongolamboto (inatisha) Forum Date
Mabomu Mbagala/Gongolamboto, Mabomu Arusha May/June, Gorofa kuanguka 2008/2013, Kibanda/Ulimboka n.k Habari na Hoja mchanganyiko Jun 19, 2013
Kwa nini Serikali haijalipa waathirika wa MABOMU wa GONGOLAMBOTO? Habari na Hoja mchanganyiko Jan 21, 2012
Mabomu Gongolamboto Habari na Hoja mchanganyiko Jan 19, 2012
Usanii JWTZ: waathirika wa mabomu ya gongolamboto bado wapo kwenye mahema Habari na Hoja mchanganyiko Aug 6, 2011
Mabomu ya Gongolamboto....Jeshi lilijua???!!!!!! Habari na Hoja mchanganyiko Feb 22, 2011

Share This Page