Mabomu na vituko vyake...

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Nianze kwa kuomba r.i.p kwa marehemu wote wa mabomu gongo la mboto ,na majeruhi wawahi kupona mapema,but kweli vita mbaya yani ktk kimbia kimbia kila mtu kuokoa roho yake kuna mama mmoja amejikuta kabeba mbwa badala ya mtoto akafika jet -corner ndo kutahamaki kaacha mtoto,wengne wakimbia uchi,na sidiria,chupi,na tight,boxer...jamani eti ktk vita huwa kuna matukio yepi mengne ya kuchanganyikiwa yanayotendwa na wahanga
 
Wewe unaleta utani kwenye matatizo.... Si vema kwa leo...msiba ni jana wengine hawajui wenzao wako wapi... Hivyo kwenye hili utani tuuweke kando kwanza...
 
Kama uymekosa cha ku post ni vema ukakaa kimya acha ukuandika upuuzi ktk matatizo!
 
yani humu jamii forum kuna vituko sana ,yani mtu mmoja akitoa comment flani mijitu mingine inajidai inafata mkondo huo huo ,badilikeni jamani ,stand by your own legs ,i knw tatizo limetokea then who should be blamed me or your irresponsible leaders,okey mpende kuwa wakwanza kuwa source of changes na si kufwata mkumbo wa mawazo ,hyo si great thinker
 
Kuna vikongwe wameonekana wakikimbia kama vile vijana wa miaka 15 tu. Kwenye vita hata mgonjwa alie mahututi hupona kwa mshtuko.

RIP marehemu wote na majeruhi poleni.
 
Aisee embu fanya mpango wa kutafuta cha kuongea mkuu.. serious issues hazihitaj utani aisee!!
 
Mkuu,
Unajua maana ya jokes?
Tafadhali, taifa liko kwenye msiba ambao haijulikani kama umeisha au bado unaendelea, tafadhali sana usitufanye tukutukane matusi makubwa makubwa.
 
Msameheni jamani, watu wengine vichwa vyao ni shek wel b4 uz, mi sijaona logic ya anachopresent. Ingekuwa vp siku angeugua halafu mwingine anamletea jokes juu ya ugonjwa anaougua?.
 
Msameheni jamani, watu wengine vichwa vyao ni shek wel b4 uz, mi sijaona logic ya anachopresent. Ingekuwa vp siku angeugua halafu mwingine anamletea jokes juu ya ugonjwa anaougua?.

its okey kama ntataniwa,ina mana haujawahi kwenda msibani ukakuta watani wa jadi wanataniana na watu waliofiwa au?mbna hapo hauhoji ?au ndo unayesupport tu hoja without arguments ambazo zina-sound,nipo ktk right venue ,so kama hupendi kuchangia then its better ukaenda jukwaa la hoja na mambo mbalimbali,jamii intelligence, n.k ,nawasilisha.
 
Msameheni hajui kama amekosea bado mdogo baba yake ndio kamrejesta humu kwenye jamvi

haya bwana bakari unayejidai u mkubwa,bt kumbuka kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi,unaweza ukawa na bichwa kubwa bt kikawa ni empty head,na inawezekana unayedhania ni mdogo akawa mkubwa zaidi yako kimwili hata kiupeo ,so watch out before you talk.
 
D u Nziriye upo sahihi kabisa huu ni ukumbi wa Jokes asiyeweza aende akafungue Jukwaa la siasa au International au tumuombe MOD afungue JF Rambirambi iwe sehemu ya huzuni tupu, Iran Libya Gongo la mboto, Mbagala, MV Bukoba nk
 
Back
Top Bottom