Mabomu yaliyosalia Mbagala kulipuliwa Jumamosi

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
taarifa iliyotolewa na JWTZ kwa vyombo vya habari inasema mabomu 11 yatalipuliwa siku ya jumamosi tarehe 6 Juni, hivyo wakazi wa mbagala na vitongoji vyake wanaombwa kuwa watulivu na kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa.

Ulipuaji wa mabomu utakuwa salama na hakuna madhara yatakayojitokeza.

Wananchi wanaombwa kukaa mbali na eneo la ulipuaji kwa usalama zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom