Kazi yako inaonekana hapa chini wewe sijui tukuitaje shujaa au msaliti?
Ndugu Dk Mwinyi,
Ningependa kuchukua fursa hii kukupongeza kwa zati kwa ufanisi wako kufuatia mlipuko wa mabomu ya Gongo la Mboto:
1)Mara hii hakukuwa na wahanga wa kijeshi kama ilivyokuwa kule Mbagala
2)Ulikuwa kiongozi wakwanza kuwepo kwenye eneo la tukio hata kabla halijaanza
3)Umekuwa jasiri kusema huwezi kujiuzulu kwa kuwa umefanya kazi yako vizuri
4)Ulimpokea Mkuu wa nchi alipokuja kuona maendeleo ya kazi huko Gongo la Mboto
5)Tunasubiri kwa hamu wapi kutafuata katika huku kulipua kwetu mabomu.
Kazi njema Bwana Waziri
kwa kifupi anachosema ni kwamba kwa mtazamo wake yeye, hana kosa lolote.....sasa tume ikija na kusema anakosa, ndio ataona kuwa anakosa....kaazikwelikweli
Kazi yako inaonekana hapa chini wewe sijui tukuitaje shujaa au msaliti?
Waziri mwenzetu huseni mwinyi tunakutakia maisha marefu katika kuritumikia taifa la Tanzania, kazi tunaiona undelea kuwatumikia watanzania kwa moyo wako wote.
Watu wanataka kukupunguza ili usilitumikie taifa lako
Nasema na kusema hakuna mtu hatakayejudhuru
Nasema na kusema hakuna mtu hatakayejudhuru
Nasema na kusema hakuna mtu hatakayejudhuru
No one will resign
No one will resign
No one will resign
Jeykeywaukweli
Makubwa haya eti kazi nzuri iko wapi?kwa kuua watu?
soma vizusi ujumbe uliopo kabla ya kurply!!
walewale lkn tutafika tuuu hata wajinga wataelimika....
Dr. Mwinyi asijifanye hajui kosa lake.
Makubwa haya eti kazi nzuri iko wapi?kwa kuua watu?