Mabomu g/mboto yaibua mengine yaliyojificha

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kuna habari kuwa JWTZ imekuwa na upungufu wa wataalamu wa mabomu hasa katika kufanya inspection na Kutoa elimu endelevu juu utunzaji na uhifadhi mabomu yaliyoko ghalani. Hivyo basi imeandaa mkakati wa kuwaita wataalamu walio staaafu ili kuziba pengo hilo hasa katika kufanya inspection ya maghala ambayo hayajalipuka yakiwemo ya Arusha, Shinyanga na DSM.

NOTE: Hii imenipa wasi wasi mkubwa kuwa huenda vitu vilikuwa vinafanyika kienyeji maana wataalam wengi walishastaafu na pengo leo halikuzibwa. Huu ni uzembe uliokithiri na kusababisha kuahatarisha na kupoteza maisha ya wananchi.
 
eh! ulikua hujui hilo? Pole. sisi wa Mbagala tunajua hayo. Tena kukujuza zaidi ni siku zile wanajeshi walipopewa ruksa ya kuacha jeshi na kufanya shughuli zao wenyewe, kama vile siasa, biashara, n.k. Wengi wa walioacha ni wataalamu hao wa mabomu waliochukulia mafunzo yao urusi. Sasa fikiri ilikuwa lini. Kwa nini bajeti isiongezwe ili wengine wakasomee.
 
Back
Top Bottom