Mabomu: Akina Mama Zaidi ya 100 bado Kupata Wao

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
TBC imetangaza hivi punde kuwa ni watoto 8 tuu ambao bado hawajatambuliwa na kuchukuliwa na wazazi wao uwanja wa Uhuru. Hata hivyo bado kuna akina mama zaidi ya 100 ambao bado wanawatafuta watoto wao waliopotezana kwenye milipuko wa mabomu Gongo la Mboto.
 
Kwa hiyo inamaana vifo vya wahanga wa mabomu ni zaidi ya iliyotangazwa na serikali ama HAWAJAJITOKEZA?
 
TBC1?
wHAT DID YOU EXPECT FROM THEM?
Wamezowea kuchakachua kila taarifa hawa!
Ukweli utawaumbua sasa...Walisema wenyewe kuwa "TRUTH TAKES TIME"
 
Kwa hiyo inamaana vifo vya wahanga wa mabomu ni zaidi ya iliyotangazwa na serikali ama HAWAJAJITOKEZA?

Looks like that. Kama ni watoto 8 wamebakia tuu, na kuna familia zaidi ya 100 bado zinatafuta watoto wao what does that mean?
 
Looks like that. Kama ni watoto 8 wamebakia tuu, na kuna familia zaidi ya 100 bado zinatafuta watoto wao what does that mean?

That mean the death toll might be more than what they are telling us!!!! Wachakachuaji wakubwa hawa!!!!!
 
hapa pia kuna dalili za wizi wa watoto. wengine wanachukuliwa kwenda kutolewa kafara. I hope wanahakikisha mzazi wa mtoto kabla ya kuwakabidhi.
 
That mean the death toll might be more than what they are telling us!!!! Wachakachuaji wakubwa hawa!!!!!

Kwa hii Serikali ya kifisadi hili linawezekana kabisa. Kuplay down the actual number of those who perish in order to cover their own asses.
 
Back
Top Bottom