Mabom! Mabom! Mabom!

halafu hawa jamaa na meli zao ipo siku watatutoa roho.tushawazoea hata siku hii navy ikilipuka tutakua tunajipa moyo hivihivi.mbona sikuku za kikristo suleiman kova anakataza mafataki?haya mambo ya serikali kukosa msimamo ipo siku yatatugalimu.
 
Ni sikukuu madhehebu flani ya kihindi ndo wanaingaia mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao, Izo ni fataki punguza uoga na matangazo yametolewa Tz nzima wananchi wasishtuke wenzetu wanasherekea mwaka mpya, wewe na wenzako mliwasumbua na fataki zenu tarehe 1 january. Uwe na tabia ya kusoma matangazo kwenye mabango mbalimbali uwe upadated.

Ok mkuu, ila naona Kova amelitambua hilo na ndio maana yupo online sasa
 
Hizi sikukuu zingine ambazo hazina hodi zitasababisha maafa, ukizingatia wabongo wameshang'atwa na nyoka, wakiona nyasi tu wanashtuka! Kwahiyo hata kama na mimi nina dhehebu ambalo sikukuu yake ni kutembea uchi nitaruhusiwa?
Kila ikifika january 1 watanzania huwa mnasherehekea mwaka mpya kwa madebe,fataki na honi za magari. Matangazo ya kuwatahadharisha wananchi wasiogope milipuko ya fataki yamebandikwa kwenye mabo za matangazo kwani wenzetu wiki hii wanasherehekea mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao.
 
Msikilizeni kova wapo radio anasema kuwa ni baruti ambazo zinasababishwa na wakorofi wachache
 
DIWALI HIYO WADAU, kuna jamaa yangu kapata meseji kutoka Zantel wana mu wish Diwali njema

Diwali ni nini? Mim mwenyewe nimesikia nikacheck nikaona kama vile fataki vile?? Kama ni mabomu basi nimeyasikia!!!!
 
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake

Can you try to be a bit positive and considerable?.......sidhani kama alichopost ni upuuzi ila ni swala la kuelewa tofauti kati ya mlio wa bomu na fataki lakini pia usisahau kuwa kuna "taharuki" kutokana na kuzoeleka kwa milipuko ya mara kwa mara


Ukiniambia moja ya madhaifu yangu basi wewe ni rafiki yangu!
 
Itakuwa ni Ganapati Ganesha hiyo ya Wahindu. Huko Mumbai mitaa ya Hiranandani Garden Powai, mida hii patakuwa hapatoshi. Nakumbuka barabara zilikuwa zinafungwa kwa siku kadhaa.
 
ni hiyo sherehe ya wahindi na jeshi la polisi limethibitisha. Hawaruhusiwi kufyatua fataki zenye milio, wanasakwa waliofanya hivyo na jeshi la polisi-wapo radio
 
Yea,nimejaribu kufatilia hiyo milio ya mabomu kwa tarifa za uhakika nilizopata ni sherehe za wahindi maeneo ya temeke wanapiga mafataki...sherehe zinaitwa diwali hufanyika once a year...kova kakurupuka,si anafanyiaga kazi za ulinzi kwny vyombo vya hbr yule!
 
jamani no researchno right to speak, leo ni sikukuu ya wahindi, actually wameanza kupiga fataki toka mchana, msitishe watu, heading yako haijakaa vizuri
 
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake

mkuu hakuna taahira wa ku joke kwenye issues kama hizi, pia kuna members humu kauli zao huwa za kutiliwa mashaka waletapo taarifa kwa mara ya kwanza! Mkuu soma comment za wachangiaji, then ndipo utagundua ni watu wangapi waliku pre-informed na hii kitu, then ndipo utoe comment kama hii! Pia kumbuka serikali ilishawahi kukataza hii kitu, sasa kama wangejua itatokea tena huku wakijua taharuki ya watu Dar na madhira ya milipuko iliyowahi kuwakuta wangeweka msstizo wa taarifa juu ya jambo hili
 
Hivi milipuko ya fataki na mabomu inafanana eehhh??

Kweli JWTZ imezua balaa, mlipuko kidogo tu tunahofia mabomu.
 
Kama fiesta walipiga fataki why not them, double standards? tena fiesta wakliyapiga usiku wa manane
 
Jeshi la polisi limethibitisha kuwa ni sikukuu ya wahindi ambao wanafyatua fataki. Zenye milio zimekatazwa hivyo wanawasaka wahusika wakamatwe. Source: Wapo radio fm
 
watu wamekimbia wameacha magari yao maeneo ya posta. Na kuna mzee mmoja kakimbia kutoka hoteli akiwa uchi kuelekea baharini. Hakuna usafiri kutoka maeneo ya posta, kariakoo n.k. Ni taharuki kubwa
 
Kila ikifika january 1 watanzania huwa mnasherehekea mwaka mpya kwa madebe,fataki na honi za magari. Matangazo ya kuwatahadharisha wananchi wasiogope milipuko ya fataki yamebandikwa kwenye mabo za matangazo kwani wenzetu wiki hii wanasherehekea mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao.
Acha kiswahili mrefu weye, eti wenzetu? wenzeti ndo kitu gani?
 
Back
Top Bottom