Mabom! Mabom! Mabom!

yanalipuka hivi sasa, nayasikia hapa kama 10 hivi!
 
Tusubiri vyombo vya habari watatueleza nn kimetokea, ila haya si makali kama yale ya gongolamboto!
 
Nashangazwa sana na uzushi wako, nadhani hustahili kuwa member humu JF. Ningekuwa mimi ni Mod, ningekupiga ban ya maisha.

Wewe uliye mkweli sema ukweli, yaliyolipuka na masaburi yako!
 
mzizi mbona kama unafanya mzaha vile? ni kweli hiyo inshu? au we ndo umeyategua?

Mkuu mm nimeyasikia kwa masikio yangu, nipo hapa uwanja wa Taifa, walio kigamboni watatuletea habari hapa! Ila mabom yanaendelea kulipuka! Sina sababu ya kusema uongo!
 
Wewe uliye mkweli sema ukweli, yaliyolipuka na masaburi yako!

Nadhani uko bar saa hizi, hayo masaburi yanahusiana vipi na mabomu? Kila linalokuja kichwani basi unafyatua tu Mkuu, ok nakushukuru.

Nimepiga simu sasa hivi kwa ndugu yangu hapo Midizini, just 1 km fro Ferry na hawajayasikia. Labda yanalipuka tena Mbagala, fuatilia vizuri Mkuu.
 
Ndugu yangu yupo Mitaa ya Mbagala kaniambia yanalipuka mabomu mitaa ya Kigamboni!!
 
si diwali hiyo?...maana hapa nilipo nazisikia fataki za kutosha tena kwa sauti ya juu sana....
 
DIWALI HIYO WADAU, kuna jamaa yangu kapata meseji kutoka Zantel wana mu wish Diwali njema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom