Elections 2010 Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

Status
Not open for further replies.
Video imetengenezwa na CHADEMA na inasambazwa na CHADEMA wenyewe.

Hatudanganyiki lakini tunaendelea kudanganya.:lol:

CAN YOU TELL US WHAT FOR, CCM ndo wana mida michafu ya kuendesha compain za maji taka, kuchafuana and so on. Wameishiwa hawana jipya miaka kibao madarakani but nothing better,, promiseless na mauchafu mengine ndo maana wanachafua watu. Makamba alifanya juu chini akampata aliyejiita ni mume wa Josephine ili tu kumchafua Dr. Slaa, sembuse hili?...... Watu tunajua mengi na tunarudia tena mwaka huu HATUDANGANYIKI!!
 
Hivi GDP inaingia wapi hapa? Hii message ni ABSOLUTELY STUPID. Ujue na huyo mdada kasema haki ya Mungu kwamba CHADEMA ni mafisadi...
Kuna watu wamezidiwa sasa.
Hiyo GDP imeingizwa hapo kujaribu kuwa kuwachota akili watu ambao hawajui GDP nini na wale ambao wanajua lakini wana akili fupi. Madhumuni ni kutaka kudanganya Mbowe anapokea dola milioni 400.
 
JK get rid of Makamba and Kinana if at all This is what They are producing!! Less than Class 7 material!!!!!
 
Nyieeee!! yaaani wote Hamuoni kuna Mtu anadai Fataki wake ni kibabu na yuko CHADEMA! who is the target here?
 
Na hii imebuniwa na Makamba akasema itakapotoka tu Mbowe kwisha kazi, kweli sasa wameishiwa wanatangatanga mara yuko Iringa mjini kesho kesharuka Musoma keshokutwa anarudi Makete siku inayofuata Pemba yaani mradi anazunguka hewani hana lolote.

Hivi kwa nini makamba ana njama za kipuuzi hivi, anaonyesha ni jinsi gani asivyo mtenda haki hata katika uongozi wake... CCM imejaa watu wa ovyo ndio maana kila kukicha Taifa linaelekea pabaya... CCM kikiwa chama tawala kingetakiwa kuonyesha mfano wa mema instead wanaongoza kwa uovu huku wakitumia hela za mlala hoi kuyatenda haya na kutuonyesha risiti feki. OLE WAO MWISHO WAO UMEKARIBIA.. Watu tukapige kura 31 ocb 2010....
 
Mstahiki,

Naomba kwenye Video yako hapo juu, chini uweke hii video nyingine.

Hawa Wafanyabiashara ya zamani kuliko zote duniani lazima waipate habari yao.

Halafu wanajifanya na Uchumi wanaujua, pumba tupu.

U Bi*ch, move your EARTH-s down there and start fighting for changes. Hao vibabu mnaharibu tu familia za watu.

http://www.youtube.com/watch?v=lbXTSgKdDmE



Kinanifurahisha kinaposema "haki ya Mungu..." Wee binti Muogope Mungu wako.
 
Last edited by a moderator:
Piga ua, hao madada iwapo wameshiriki katika hili kwa malipo sidhani kama wamepata zaidi ya kilo tano tano. Ujumbe kwenye video hauna maana na zaidi unaonesha umbumbumbu wa wale waliopanga kutengeneza video hii.

Nawasikitikia akina dada hawa maana kwa chochote kile walicholipwa kushiriki katika video ni cha kupita, tena muda mfupi tu. Na baada ya hapo majuto ya kushiriki katika video yatafatia, maana video itabakia daima hadi uzeeni mwao. Kama ni watu wa kujirusha, Bills napo itabidi kuogopa kukanyaga, maana wabongo wengine hawana simile na wanaweza kuwafanyizia kwa hili. Siasa Za maji taka zina gharama yake, wawe tayari kuitoa...
 
Matumizi ya dada aliyevaa hijab kuwatungua CHADEMA na pia kuzungumzia masuala ya kutoka yananipa maswali mengi zaidi.....Plus data zisizotulia kichwani...
 
inamaana nyinyi hamna sera za kuwapa watanzania..kila siku mnai2hum CCM. mi nahic mnavichwa maji ambavyo vina uwezo mdogo wa kufikiri, achen majungu. huo muda wa kukaa mnacomment video ni bora mngemsaidia mgombea wenu kuhubiri makanisani.
 
Mabinti tu mnaanza kupiga makelele,je wakija dada zao sasa ....duh kumbe Mbowe anakunja fungu kubwa hivyo
 
Ikulu sio kwa kuingia ovyoovyo ili kila m2 ajaribu kuongoza..................., Dr. Slaa bora ukale mafao yako vizuriiiiiiii hayo waachie vijana..... ha2hitaji wazee wa2ongoze
 
Wakuu Kuna Members wengi sana Wamejiunga humu Last week!! Big %ge wanakitetea chama tawala.
Could this be another CCM move! Ukiangalia hata ile poll pale juu Imebadilika Ghafla.
Jitahidini, But Kura yangu mara hii nitampa anayestahili. whatever tactics you will use, You'll never convince me that you are clean!!
Ila watanzania sijui wlirogwa na nani? Yaani JK anapanda Jukwaani na kujinadi kuwa amefanikiwa vita ya mafisadi kwa Kiasi Kikubwa mnamshangilia? Hapa ndipo naishiwa Nguvu.
 
Its a good commerical na nawapongeza sana CCM kwa kuweza kuwa na data kama hizi zinazohusu chadema... pia nawapongeza chadema kwamba mambo yao yako wazi... treansparency is the first step towards accountability

MY QUESTION TO CCM... can you account for the posters you have thrown all over the country as if you are launching a new brand of cigarette?

Nimesikitika sana yule binti tena mwenye ushungi kuapa kwa jina la mungu huku akijua anatumika kwenye upotoshaji

nasikitika zaidi anavyo portray kama binti wa kiislamu halafu anaongea vile

Kweli hypocrisy is synonymous to tanzania
 
inamaana nyinyi hamna sera za kuwapa watanzania..kila siku mnai2hum CCM. mi nahic mnavichwa maji ambavyo vina uwezo mdogo wa kufikiri, achen majungu. huo muda wa kukaa mnacomment video ni bora mngemsaidia mgombea wenu kuhubiri makanisani.

One of the Septembees rise bana!!! Nyamaza hujui hata usemalo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom