Mabinti wa kisasa..!!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,032
22,556
..hawasomekiii

wanaume somekenii..

Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES..

ndo ukweli...

Au naongopa Mamndenyi ? Say sth
 
Last edited by a moderator:
..hawasomekiii

wanaume somekenii..

Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES..

ndo ukweli...

Au naongopa Mamndenyi ? Say sth

funguka kivipi??
 
Last edited by a moderator:
nenda MMU ..utawasoma warembo wanavyotulaumu..

Sie wa kiumeni twaichukulia ki rahisi rahisi tu.

MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti.
 
Mie wa kwangu mbona anasomeka?
So far i have no further comments in this thrade.
Niko mitaa ya mbele hapo.
 
MMU siku hizi nalo limekuwa jukwaa la mastress. Mambo yote chit chat full kutongozana na kupokezana vijiti.

..kuna kitu ki 1..wanaume twakosea,nacho ni "WE PAY LESS/LITTLE concentration when talking to our loved ones...
Kumbuk kwamba unavyo ongea na binti anasoma maneno yako na macho yako.(usikwepeshe macho).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom