Mabinti wa Kichaga na Kipare

Mimi nakataa coz my hubby ni wa huko Marangu lkn ana mguu aisee balaa! msiwe na dhana potofu jamani khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
una maanisha miguu membamba?vipi akili kichwani k una kabila linakamata??stupid topic
Ni mtizamo wako kama ni stupid topic, hulazimishwi kuchangia, waweza soma ukapotezea, the only thing ma mama told me ni kwamba huwezi kumzuia mtu kuongea na huwezi kumzuia mtu kuwaza bt unaweza kumzuia mtu ku-act. Huo ni mtizamo wako bt great thinker anatakiwa kuheshimu hisia na mawazo ya mtu mwingine. LOL
 
Nadhani umekuwa na bahati mbaya ya kukutana na mabinti wa jinsi hiyo lakini hauko sahihi hata kidogo.
 
Nadhani umekuwa na bahati mbaya ya kukutana na mabinti wa jinsi hiyo lakini hauko sahihi hata kidogo.
Mkuu si kwamba siko sahihi utakuwa unanionea, wapo wenye miguu minene ila wengi wao wana miguu niliyotaja hapo juu. Ishu ambayo nataka mimi ni kwamba je kuna relation ya DNA au RNA kwa haya makabila?. LOL
 
this is not true!I knw them,ni wazuri sana tena sana!
Mkuu ongelea uhalisia, najua umekutana nao wengi sana, sijasema kuwa hawapo wenye miguu minene, wachaga na wapare karibu mabinti wengi ni wazuri kisura ila tukija kwenye miguu tunaweza kukimbiana, nambie je kuna uhusiano wowote wa ki DNA au RNA kati ya wachaga na wapare?
 
wee kabila gani?
 
Mimi nakataa coz my hubby ni wa huko Marangu lkn ana mguu aisee balaa! msiwe na dhana potofu jamani khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kaka hubby wako ana miaka mingapi? Most ov them wakiwa wadogo huwezi gundua ila wakifikisha miaka 30-35 ndo utawajua. NOTE MY WORDS KAKA. Lol
 
namaanisha ule ukosefu wa lishe, i mean wembamba wa miguu yao unatokana na nini? Je kuna uhusiano wa RNA na DNA kati ya wachaga na wapare? Next time punguza hasira ROSE b'coz jina lako linaashiria upendo,furaha,utayari n.k

UNATAKA MUZIKI AU GITAA??? Kwani hiyo survey yako umetumia sample ya warembo wangapi???Usijekuwa umeengalia UMPENDAYE NA WADOGO/WAKUBWA ZAKE UKAJA NA KA-THORY KAKO..........
 
Back
Top Bottom