Mabinti v/s wake za watu v/s wamama(single) . . . . . .!!

namtamani sana babu DC hapa.
unajua vijana wa siku hizi sijui ni nini ila kiukweli ni waoga sana wa maisha na wao wanategemea life ambayo ni mdondo so matokeo yake ndo yakutoka na wake zawatu. kiukweli mimi kama mama kuliko nitoke na kiserengeti boi bora nikatafute zee lenzangu kieleweke ila kitoto cha nini sasa?
vitoto vina stamina dada ha ha.

on a serious note natamani JKT irudi atleast watu tutapata kujua maana ya hard work na uvumilivu

khaaa! hivi kweli kizazi gani hiki? hope huu ni utani sitak kuamini ninachokisoma hapa.
wamezoea single life,wadada wa sasa ni karaha saa zingine. heri wabakie friends with benefits.
 
Huu uoga wa ndoa utanigharimu!

Ngoja niwasome na nilinganishe na maamuzi ninayofikiria. Kina dada single full memo na wakati mwingine kama hauko makini unaweza kuishi maisha yasiyoendana na kipato chako kwa kigezo tu cha kwamba nampenda sana na nikimweleza ukweli likely akapata mtu mwenye mavumba akanitosa. Loading...............................
 
namtamani sana babu DC hapa.
unajua vijana wa siku hizi sijui ni nini ila kiukweli ni waoga sana wa maisha na wao wanategemea life ambayo ni mdondo so matokeo yake ndo yakutoka na wake zawatu. kiukweli mimi kama mama kuliko nitoke na kiserengeti boi bora nikatafute zee lenzangu kieleweke ila kitoto cha nini sasa?

Ha,ha,ha,haaaaa!Wanasemaga eti vizee rigwaride haviliwezi!
 
usiseme aisee ng'ombe hazeki maini hata siku moja. anaweza akakutoa na kimoja kitakatifu. utalinganisha na vitoto ambavyo unakuja kuvifunza? sasa ewe nenda katafute lishuga mami nisikie yaani nitakutandika fimbo lol! uache kurusha roho na vijana wenzako damu inachemka wataa kuja kupewa shombo za uzeen na kukalizwa eda iso wombolezaji.
 
Tatizo vijana hawaeleweki,akikuambia anakuja haji,mara nirushie salio,mara sijui saloon mara sijui nini,lakini kwa shugamami saafi kila kitu mteremko,lainiiiiiiiiiiii!
 
waume za watu kila kukicha wako mtaani wanatongoza mabinti/dada zetu kwa hiyo na sisi tutatongoza hao wake zao..ngoma iwe draw ama? ukitaka iwe fair game mseme na hao waume za watu waache kutafuta ndogo ndogo mtaani watulie na wake zao
 
Waliokuwa wanatetea kuwa bora wake za watu waliji defend kwa point zipi!? yaan kwanini ni bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu!?

Hii ya wake za watu imeniumiza sana kwani hata mimi nina mke. Ila hao vijana wanaotamani wake za watu si kwa sababu wanawapa raha sana bali yale yale ya kutaka vya kupewa na huu ni uvurugaji kwani nini yeye asijibidishe akawa na mke wake?
 
Duh!Inaumaeeee,ila usijali wanawasaidia au?
 
Tatizo vijana hawaeleweki,akikuambia anakuja haji,mara nirushie salio,mara sijui saloon mara sijui nini,lakini kwa shugamami saafi kila kitu mteremko,lainiiiiiiiiiiii!

hizo dezo hizo ndio zinawaponza. mwanaume anasifiwa majukumu bana siyo kudeka
 
khaaa! hivi kweli kizazi gani hiki? hope huu ni utani sitak kuamini ninachokisoma hapa.

huwezi kuamini kwa sababu Dunia imekuacha nyuma masaa kadhaa, walio sambamba na Dunia wanalijua hilo. Inaonekana hujielewi na unaishi katika nchi isiyojielewa.
 
vitoto vina stamina dada ha ha.

on a serious note natamani JKT irudi atleast watu tutapata kujua maana ya hard work na uvumilivu

wamezoea single life,wadada wa sasa ni karaha saa zingine. heri wabakie friends with benefits.

like, like, like.
 
Muwazungumzie na wanaume waliooa tunaopigana na vikumbo mitaani kwa vi-G/F vyetu kila kukicha.............Wakigeuziwa kibao story inakuwa nyingine.

NOTE; siungi mkono kuchukua wake za watu
 
Ni wachache sana wanao fikiri kutoka na wazee wenzao: kama hata vijana wanawaza kutoka na wazee! Je unafikiri ni wazee wangapi wanafikiria kutoka na wazee wenzao? Bila shaka ni wachache na hili lina fanya vijana wengi kutofikisha miaka 40 duniani!

Dunia imebadilika sana!

Back
Top Bottom