Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

Ni mapenzi na tumeambiwa do not give up. Ila mi sishabikii kumganda mwanaume wananyanyasa.. mbona utabroo. Mwache aje mwenyewe umringie udeke ndo raha, akijua unampenda utajuta kumpenda walah nasema.
 
kuna moja alinichosha kweli,tumeachana bado hailewi,yaani mpaka napita live na kufanya romance na girl mwingine mbele yake bado tu anaganda mbaya.
 
aaaaiiiii, body inauzaaa????? teh teh

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 15th June 2011

Location : Angani...

Posts : 64

Thanks 25
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power : 21







I love me and me only
 
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 15th June 2011

Location : Angani...

Posts : 64

Thanks 25
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power : 21







I love me and me only



teh teh teh tah tah tah tih tih tih teh teh teh ......... isikundanganyeee mi mkongweee hapa kuliko wengi hapaa aaiiiiiiiii!!!!! usinikumbushe machungu ya burn... Khaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Duh!! Hii inaonesha ni jinsi gani siku hz dadaz hawajali kama upo na mtu mwingine au vp!!! Au Maslahi nn??

kuna moja alinichosha kweli,tumeachana bado hailewi,yaani mpaka napita live na kufanya romance na girl mwingine mbele yake bado tu anaganda mbaya.
 
Na hawa ving`ang`nizi ni wabaya kaa chonjo akipata mimba tu unae milele huyo. Kunamdada kazaa na jamaa ameng`ang`ania ukweni hatoki na jamaa kisha mfukuza kashindwa kaamua kuhama makazi .
huyo jamaa ni balaa kwa sababu anachafua mazingira...........................na kutuachia watoto wa mtaani ambao bado wanawasaka baba zao............lol
 
aliniangusha akanichefuaaa!!!!!!! na alikua mngoniii wale wale wa interior!!!!!!!!!!! kuchafuana tuuuuuuuu!!!!!! Khaaaaa!!!
baada ya kumsafisha minoti mngoni wa watu sasa wadai mlikuwa mnachafuana tu.......lol........................
 
Mambo ni aje wana JF!!!Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni balaa unamwambia humtaki still anataka awe na wewe!!!!Hivi hii ndo Haki sawa kwa wote au ndo mambo dunia ya sasa!!!!
ndo hivyo mzeeeee....
 
senior member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
join date : 15th june 2011location : Angani...posts : 64 thanks 25 thanked 2 times in 2 postsrep power : 21 i love me and me only
ving'ang'anizi wenyewe ndio kama huyu, nahisi huwa wanajisahau!
 
Mbona vijana nao ving'ang'izi wakimpend a mwanamke? mpaka watimize azma yao
 
Mambo ni aje wana JF!!!
Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni
balaa unamwambia humtaki still anataka awe na wewe!!!!

Hivi hii ndo Haki sawa kwa wote au ndo mambo dunia ya sasa!!!!

Hakuna cha ajabu hapo hata kwa Wanaume hili la kuambiwa mapenzi sasa basi lakini kung'ang'ana na GF/Mke kwamba bado anampenda lipo sana tu.

YouTube - ‪the whispers-this kind of lovin‬‏
 
Back
Top Bottom