Mabint wanauza FACEBOOK jaman.. They need Men's SUPPORT

...its a FACT... alafu mabint wa FB ni wepesi kuliko hata wa JF...

mbona wengi wa waliopo Jf ndiyo haohao walioko Fb? Acha kujiwekea mipaka ya kufikiri

Ina maana humu jf kuna mabinti wepesi?

1.walio wengi humu ni wake za watu.
2.Jf imekaa kuelimisha zaidi kuliko kutafuta umbea, hata love connect unaweza kukuta topic mmoja inakaa mwezi mzima bila kuchangiwa/mtu kujitokeza, michango inayotolewa hulenga kumpa darasa badala ya watu kujitokeza zaidi.
3.Jf watu hawaweki picha zao mara nyingi huchagua avatar wanazopenda, lakini fb hujiuza zaidi.

jaman ni kweli,ok mi namsaidia kumtaja mmoja, maria mwingira. Jaribu hyo id utaona

Back
Top Bottom