Mabint na masharobaro!!!!

Babaake Dully sykes Ni sharo kishenzi watoto itakuaje.




Babake Dully kazidi usharobaro wake bado anang'ang'ania ujana, usharo we uzee na kijana tofauti but wote wapo.... Babake Dully personally sipend mpenzi wangu umri ule sharo vile.... kila kitu na wakati wake...
 
Hahahahaha macheckbob walikuwa wanajipenda sana iliingia fashion mpaka ya kuvaa mocassin nyeupe tena bila soksi (ukivaa soksi ulikuwa unaonekana wa kuja!)...halafu na miondoko ya ajabu ajabu hahahahahah lol! Wabongo bwana matata sana!
Ah ah ah, bila kusahau mashati na dingrizi za kubana, tulikuwa tunaziita suruwali za mdomo wa chupa, kichwani wamenyoa panki au mtindo wa sharamaa.... uku mabrazemeni wao na bugaruu/tinabuu na raizoni... ah ah ah.
 
mwanamke akikupenda utaitwa mtanashati na atakuwa anajisifia mbele ya wenzie,
 
mwanamke akikupenda utaitwa mtanashati

mapenzi yakiisha,utasikia ahhh yule sharobaro hana mpango...lol
 
sasa hawa jamaa kuvaa suruwali cini ya makalio, kama mtoto aliye jisaidia kwenye nepi ndio nini?

BOXER1.jpg
 
Aka! Mwenzang mi masharabaro sipend kwan mi ni mchapakaz na napenda mme wang awe mchapakazi pia, sa akiwa sharobaro 2tatafuta saa ngapi! Mi binafsi siwapend
 
Aka! Mwenzang mi masharabaro sipend kwan mi ni mchapakaz na napenda mme wang awe mchapakazi pia, sa akiwa sharobaro 2tatafuta saa ngapi! Mi binafsi siwapend

Ubarikiwe dada,i like that
 
vp ulimpata Asha D jana? Naona kaibuka leo aisee

asee kiongozi nimeona na we pia ulikuwaunamtafuta ukaniunga mkono, ilibidi nimfate home kwake kabisa ndo kdogo roho yangu ikapoa.....dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom