Mabint na masharobaro!!!!

anaoga mara sita kwa siku na kubadilisha nguo mara sita pia...pia hupenda sana kutumia vipodozi vya kike! hahahahah lol! simple minds! Mzima TF? weekend wapi?

YouTube - ‪Jennifer Lopez - On The Floor ft. Pitbull‬‏
Hahaha!! Huwa wananifurahisha sana hapo kwenye nyekundu, aisee weekend tunafanya cocktail and shooters party you are more than welcome if you can be able to handle the heat si unajua mambo ya MARGARITA, LONG ISLAND ICE TEA, SEX ON THE BEACH
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sweetie naona atakua more comfy ukimuuliza wewe, mimi atafikiri nataka kumuibia... Go on muulize dear...

Think so love? I know u have more than enough bana kumuibia lol. nadhani atatuambia tu hapa hapa as u keep me so busy with coffee and wine and everything lol
 
Babu nina uhakika wengi huwa wanaoga tena zaidi yaidi ya mara 6
 
Think so love? I know u have more than enough bana kumuibia lol. nadhani atatuambia tu hapa hapa as u keep me so busy with coffee and wine and everything lol

Now thats the thing.... mimi nawe tunaelewa hivyo but yeye she wouldn't understand... sawa na kusema yeye aanze kukusogelea sogelea... hata kama karidhika na wake sita condone... mtu chake sweetie...
 
TF utani wa hivyo sio mzuri you are making me want to :A S-cry:.... Alafu kakako unataka kuharibu - why?.... yeye ana tu traits za usharo at a minimal..... lakini si sharobaro...
SHAROBARO -Kijana Msafi na Mtanashati.
 
Mkuu BAK nakubaliana na wewe kabisa

ila kijana wangu TF atakuwa na kazi maalum leo nitamuassign.....:smow:
:A S 103::A S 103::dance::dance: Nikabidhi kazi nimeishajivua gamba kabisa
Now thats the thing.... mimi nawe tunaelewa hivyo but yeye she wouldn't understand... sawa na kusema yeye aanze kukusogelea sogelea... hata kama karidhika na wake sita condone... mtu chake sweetie...
CCTV CAMERAS AND SURVEILLANCE CAMERAS ARE WORKING
hakuna kidude cha dislike hapa?
Finest and Asha D like this.
TF utani wa hivyo sio mzuri you are making me want to :A S-cry:.... Alafu kakako unataka kuharibu - why?.... yeye ana tu traits za usharo at a minimal..... lakini si sharobaro...
Unakumbuka enzi za akina Ralph Tresvant, Bell Biv Devoe, Jamie Foxx
 
kumbe na wewe ukilifahamu hilo.
Hebu mwambie asha d asije akaingia choo cha watoto akakalia poti. Lol!
Kaizer usisome hapa.

Husninyo Mpenzi NO COMMENT... Nimemuachia hio kazi TF na ahakikishe kamaliza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom