Mabingwa wa ubishi

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Kulikua kuna mabakhili wa3 wapo baharini wakishindana kuzamia na masharti yakawa hivi:
atakaenyanyuka mwanzo atawapiga ofa wale wenziwe hali yakua wote ni wabahili...
wazee wakazama baharini mpaka leo hakuna aliekuja juu kwa kuhofia kuwapiga ofa wenziwe wamekubali wafe....
[/h]
 
Ha,ha,ha hahahahahaha,,,,,,uwiiiiiii mbavu sangu sinafunjika,,,, I like it,,,,, respect kwako mkuu
 
hao ni wapumbavu wakubwa sana. Maana hata angeibuka si baadae angebisha tu mshindi asipatikane!
 
Kulikua kuna mabakhili wa3 wapo baharini wakishindana kuzamia na masharti yakawa hivi:
atakaenyanyuka mwanzo atawapiga ofa wale wenziwe hali yakua wote ni wabahili...
wazee wakazama baharini mpaka leo hakuna aliekuja juu kwa kuhofia kuwapiga ofa wenziwe wamekubali wafe....

some of us we need that kind of spirit
 
haha hahaaaaaa, hahaaaaaaaaaaaa, hahahahahahaa hahaaaaaaaaaa, tehe tehe teheeeeeeeeeeeh, te , mzee du ebana noma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom