Mabinamu zetu...Sokwe,Nyani,Kima,Tumbil i nk

Na ile aina nyingine ambaye anapatikata wizara ya ofisi ya rais. Anaitwaje?
 
zoo_baboons03.jpg

Huyu ndiye Nyani ambaye watu wengi wanashindwa kumtofautisha na Ngedere na hana urafiki,mara nyingi mkia wake huwa umejikunja karibu na shina lake kuelekea chini...
duh wowowo kama wameharisha utumbo.
 
duh wowowo kama wameharisha utumbo.

Hao ni wa kufugwa wapo katika Zoo,na kwa kawaida Nyani jike anapokuwa katika heat huwa dalili zinajionyesha kwa kuvimba hayo maeneo na kila anapochelewa kupata Dume ndio uvimbe huo huongezeka na kufikia katika hatua kama hii unayoiona hapo,tofauti na mwituni ambapo huwa wanaishi katika makundi wakiwa pamoja na madume hivyo ni vigumu kumuona nyani wa porini akiwa katika hali hii..
 
Akipata kitu huo uvimbe hautakuwapo ndani ya masaa 48....

Asante mkuu mambo kama haya ndiyo yanayotakiwa sasa JF maelimu ya bure wengi wetu huwa tunaenda porini na tunaona mavitu kama haya lakini tunafikiri ni aina tu ya wanyama kumbe kuna sababu ya kuwa hivyo.
endelea kumwaga vitu na kwa wanyama wengine pia kama utakuwa unapacha na maelezo kama haya
 
Mkuu kitalolo nashukuru kama umeliona hilo nimetoa mada hii kama majibu pale wengi waliponiuliza katika mada nyingine hasa pale niliposema "umemdhalilisha huyo sio nyani ni ngedere" ndio wengine wakataka kujua tofauti zao lakini ninashukuru wengi wamenielewa na kama unahitaji kujua habari za wanyama wengine niambie tu na kama nitakuwa na muda nadhani nitaweza kukusaidia na kwa kuanzia tu unaweza kunitoautishia hawa jamaa wawili hapa chini..

cheetah%2B9.jpg

Na huyu hapa..

220px-Leopard_africa.jpg
 
Last edited by a moderator:

Hawa huwa wananichanganya mkuu wangu naomba utoe darasa kwa faida yangu na wanabodi wengine.

Thanks in advance
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: RR
Hao ni wa kufugwa wapo katika Zoo,na kwa kawaida Nyani jike anapokuwa katika heat huwa dalili zinajionyesha kwa kuvimba hayo maeneo na kila anapochelewa kupata Dume ndio uvimbe huo huongezeka na kufikia katika hatua kama hii unayoiona hapo,tofauti na mwituni ambapo huwa wanaishi katika makundi wakiwa pamoja na madume hivyo ni vigumu kumuona nyani wa porini akiwa katika hali hii..

Mkuu ikitokea kwa mfano hajapata kabisa dume nini hatima yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom