Mabinamu ya kweli haya jamani....

Nice discussion FL1.

Now you are talking!

Ni bahati mbaya sana kwamba mtoto akipewa jina la hivyo, anaandaliwa maisha ya shida sana na kurithi bila kupenda laana na mikosi katika maisha yake!

Kwa sisi tunaoenda kiroho zaidi, jina hilo litakuwa kama alama ya kudumu kwa mtoto itakayokuwa inam'haunt wherever he goes, maana limetolewa kwa baraka za Uzinzi!

Tuwe makini sana tunapotoa majina kwa watoto, maana vinginevyo tunawalaani watoto na kuwafungia milango ya neema bila kujistukia.

Any JF member never attempt that kama kweli unampenda mwanao, na pia kama ungependa apate maisha mema mbeleni!

Be Blessed pals!
 
eeh!
leo mamaa umepiga ngumi ya kushtukiza
lakini believe me,haya mambo yanategemea na makabila
KWA MFANO:wakinga ni watu wa ajabu sana......!wana kawaida ya kuwataja majina watoto zao kulingana na kitu/mtu anayevuma kipindi hicho!
mfanoi halisi kabisa(fidel atatusaidia...)kuna mtoto pale makete amezaliwa mwaka
2005 anaitwa JAKAYA MRISHO KIKWETE SANGA:D

Umewasahau pia wamachinga ... Kenya kuna watoto wengi sana wanaitwa Obama. Labda itokee coincidence ya jina la mtu maarufu na jina la ex.
 
compressor
user_online.gif

compressor has no status.
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Nov 2009
Posts: 14
Thanks: 0
Thanked 3 Times in 3 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Hahaha! No wonder! Compressor una spidi kali wewe! LOL!

Ziondaughter
user_online.gif

Ziondaughter is smart and special
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jul 2009
Location: DSM
Posts: 927
Thanks: 102
Thanked 212 Times in 148 Posts
Rep Power: 22

Hahaha! No he can't. That much I can swear! LOL!
teh teh teh teh wasiwasi si jambo zuri,humfanya mtu atoe maamuzi yasiyo sahihi
 
compressor
user_online.gif

compressor has no status.
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Nov 2009
Posts: 14
Thanks: 0
Thanked 3 Times in 3 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Hahaha! No wonder! Compressor una spidi kali wewe! LOL!

Ziondaughter
user_online.gif

Ziondaughter is smart and special
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Thu Jul 2009
Location: DSM
Posts: 927
Thanks: 102
Thanked 212 Times in 148 Posts
Rep Power: 22

Hahaha! No he can't. That much I can swear! LOL!

Xpin ni kama vile unaanza kupata kwa wivu kwa mbali eeeh
 
Hahaha! Kuna tofauti kubwa kati ya wasiwasi na wivu. Hapa ni wivu! LOL!
kwa sababu una wasiwasi ndomana unarusha wivu kwa mtu asiepaswa,unamfanyia maamuzi mpenzi wako na unamfanya aonekane kama hawezi yeye mwenyewe kusema yale unayoyasema wewe kumsemea.wakati yeye amefanya maamuzi ya kunyamaza kimya kwa sababu hakuna kitu kama hicho
 
Nice discussion FL1.

Now you are talking!

Ni bahati mbaya sana kwamba mtoto akipewa jina la hivyo, anaandaliwa maisha ya shida sana na kurithi bila kupenda laana na mikosi katika maisha yake!

Kwa sisi tunaoenda kiroho zaidi, jina hilo litakuwa kama alama ya kudumu kwa mtoto itakayokuwa inam'haunt wherever he goes, maana limetolewa kwa baraka za Uzinzi!

Tuwe makini sana tunapotoa majina kwa watoto, maana vinginevyo tunawalaani watoto na kuwafungia milango ya neema bila kujistukia.

Any JF member never attempt tahat kama unampenda mwanao na kupenda kuwa angepata maisha mema mbeleni!

Be Blessed pals!

thank you so very much PJ
hapa sina la kuongezea zaidi
umefafanua vema na kwa haki kabisa
 
haya mambo yapo jamani. Lakini nadhani ni kujitafutia matatizo yasiyokuwa na msingi, habari ya kumbukumbu isiwe kihivi jamani maana ikigundulika ni migogoro mitupu itafuatia.

itagundulika vipi? Wewe utakuwa ushapigwa changa la macho hutagundua tena!
 
maeneo yangu ya kujidai MAKAMBAKO,mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikuwa na mtindo wa wakinga kununua FUSO!kuna watoto wengi sana waliitwa majina yafuatayo kwa vibongo tofauti:
FUSO SANGA
FUSO MAHENGE
FUSO MBILINYI
FUSO TUMTEMEKE
FUSO MGAYA
BEDFORD SANGA
SCANIA MAHENGE
STAUT MSIGWA

yani ni vurugu tu!..............
 
eeh!
leo mamaa umepiga ngumi ya kushtukiza
lakini believe me,haya mambo yanategemea na makabila
KWA MFANO:wakinga ni watu wa ajabu sana......!wana kawaida ya kuwataja majina watoto zao kulingana na kitu/mtu anayevuma kipindi hicho!
mfanoi halisi kabisa(fidel atatusaidia...)kuna mtoto pale makete amezaliwa mwaka
2005 anaitwa JAKAYA MRISHO KIKWETE SANGA:D
hahahaha uwiiiiiiiiiiiii mama weeeee mbavu sina mie, Geoff unabalaa wewe, duh hii kali
 
sioni ka ni tatizo saaaana ila heshima mbele.....lol....

Tatizo lipo..

Kwanza ni dharau sana kwa family, ambayo ni ya kwako, na ni kwa akili zako uliamua kuitengeneza hiyo family!

I hate such feelings!

Lakini pili, ndo kama nilivyoeleza kwenye post iliyotangulia!

Huh, what a slavish-mind!
 
Husband Xpin!,(ooops sore mchumba kumbe!!) na Compresor ofutopic zimezidi.Rudini kwenye topik sasa.Kila mmoja anajua mie na Xpin hatuachani,tatizo lipo wapi?
Haya niambie Xpin hili jina lilipendekezwa na nani? baba au mama ?umeshawahi kujiuliza kweli?
Na wewe compressor,siri ya jina la yule binti yako ni nini?.
 
hahaha shishi kuna ule msemo ukimchunguza bata hutamla
FL1 ni vyema usiende kuuliza kwa maana jibu unalo na ndo ulilokuwa nalo siku zote na unaishi kwa amani ssa ukaulize ili iweje?,unaemchunguza haupo tayari kumpenda kwa maana utakuwa unatarajia mabaya na ukizama sana unaweza kuyakuta na hayatokupa furaha,ni bora ukae ukijua hakuna baya kwa maana hivi sasa unaishi vyema
 
maeneo yangu ya kujidai MAKAMBAKO,mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikuwa na mtindo wa wakinga kununua FUSO!kuna watoto wengi sana waliitwa majina yafuatayo kwa vibongo tofauti:
FUSO SANGA
FUSO MAHENGE
FUSO MBILINYI
FUSO TUMTEMEKE
FUSO MGAYA
BEDFORD SANGA
SCANIA MAHENGE
STAUT MSIGWA

yani ni vurugu tu!..............
Heehehe,kweli shemeji umeua,sijawahi sikia hii.Tuambie na jirani zako ile njia ya kukatiza pale makambako kwenda kusini,mbona wanaitwa kama wanyama,mara komba,nyani nk. maana yake nini?
 
maeneo yangu ya kujidai MAKAMBAKO,mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikuwa na mtindo wa wakinga kununua FUSO!kuna watoto wengi sana waliitwa majina yafuatayo kwa vibongo tofauti:
FUSO SANGA
FUSO MAHENGE
FUSO MBILINYI
FUSO TUMTEMEKE
FUSO MGAYA
BEDFORD SANGA
SCANIA MAHENGE
STAUT MSIGWA

yani ni vurugu tu!..............

Du Mkuu,

Unanikumbusha maeneo hayo!

Yani hapo ni Biashara ya Viazi (ndosa, ndokani) imechanganya ndo wanazaliwa wengi hivyo kwa majina ya magari!!

Ulipata kamoja nini Kiongozi!!lol!
 
Husband Xpin!,(ooops sore mchumba kumbe!!) na Compresor ofutopic zimezidi.Rudini kwenye topik sasa.Kila mmoja anajua mie na Xpin hatuachani,tatizo lipo wapi?
Haya niambie Xpin hili jina lilipendekezwa na nani? baba au mama ?umeshawahi kujiuliza kweli?
Na wewe compressor,siri ya jina la yule binti yako ni nini?.

Xpin ni jina la babu yangu mzaa baba. Hahaha kule kwetu wazee wenzie walikuwa wanashindwa kulitamka wakawa wanamwita Iribini. Alikuwa kidume. Alikuwa na wake wanne na watoto 38. Nahitaji kufuata nyayo zake ili kudumisha mila.
 
Husband Xpin!,(ooops sore mchumba kumbe!!) na Compresor ofutopic zimezidi.Rudini kwenye topik sasa.Kila mmoja anajua mie na Xpin hatuachani,tatizo lipo wapi?
Haya niambie Xpin hili jina lilipendekezwa na nani? baba au mama ?umeshawahi kujiuliza kweli?
Na wewe compressor,siri ya jina la yule binti yako ni nini?.
yah vyema!,huyu bint nimempa jina la bibi yake mzaa mama yake,yaani jina la mama mkwe wangu,hii ni kuepusha utata kama huu aliouleta FL1
 
Back
Top Bottom