Mabinamu ya kweli haya jamani....

hahaha! Mi na ZD tulikutana sote tukiwa bikira. Nothing to fear! Hahaha!

Mchumba unatoa siri za ndani! hujui hili ni dili siku hizi kama walemavu wa nanihii,tusijetukakatwa viungo vyetu. Naomba usirudie tena kwa usalama wetu.
 
Hee! kwi kwi kwi kwi! FL1 leo umewaza nini? kweli umenifurahisha.Mie sina uhakika lakini sidhani kama kuna ukweli wowote.Sababu ukimpa jina la mtu uliyempenda na pengine alishawahi kukuumiza si utakuwa unakumbushia maumivu jamani?

wanasema ni vyema kumsamehe kwa maumivu aliyokupa,lakini si vyema kumsahau kwa aliyoyafanya kukupa maumivu,ukimwangalia mwanao uliyembatiza hilo jina unakumbuka kuna watu na binaadamu hapa duniani
 
ni vyema sasa kila mtu ajaribu kujitafakari yeye mwenyewe kwa nni amepewa jina lake,utakuta wamo humuhumu wenye majina ya baba zao wa kitambo!

compressor hahahahahah ur so ...... teteteteteeeh
umenichekesha mwenzio uwiiiiiiiiiiiiiii
 
wanasema ni vyema kumsamehe kwa maumivu aliyokupa,lakini si vyema kumsahau kwa aliyoyafanya kukupa maumivu,ukimwangalia mwanao uliyembatiza hilo jina unakumbuka kuna watu na binaadamu hapa duniani
Kama wewe ndio ulimtenda labda,lakini kama ulitendwa wee,ngumu kwa kweli
 
Mchumba unatoa siri za ndani! hujui hili ni dili siku hizi kama walemavu wa nanihii,tusijetukakatwa viungo vyetu. Naomba usirudie tena kwa usalama wetu.

nacheka kwa furaha hubby wako furaha imepitiliza mpaka anaanza kumwaga lazi
 
Mchumba unatoa siri za ndani! hujui hili ni dili siku hizi kama walemavu wa nanihii,tusijetukakatwa viungo vyetu. Naomba usirudie tena kwa usalama wetu.

Hahaha! Mchumba! You have made my day at last. Nimekoma kutoa siri za ndani! Hahaha! Na imagine nimekatwa sterengo yangu.... LOL! Kabinti sijui kataniita baba au nani?
 
haya machanga ya macho mbona yapo.......mtu unakuta anang'ang'ania jina ile mbaya kumbe ana siri iliyo ujaza moyo ambayo ni ''YA KALE NI DHAHABU'' moyo wa mtu siri yake na mungu wake......
 
compressor hahahahahah ur so ...... teteteteteeeh
umenichekesha mwenzio uwiiiiiiiiiiiiiii
kam huamini siku nyingine uliza watu ni kwa nini ameitwa hilo jina lake utastaajabu.mi nikiulizwa inakuwa ni rahisi nimeitwa compressor coz baba alikuwa fundi mafriji na kila friji linalokuja yeye anasema ubovu wake ni compressor,issue zake dili zake ni compressor,ziwe nzima hata mbovu,then nilipokuja na mimi kaniita compressor.hii si haki! si haki pia kwa mtoto utayemzaa kumwita jina kutokana na matashi ya nafsi yako
 
firstlady1...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Eti ni kweli imekuwa ikitokea katika mahusiano tuliyo nayo ..long ago ulikuwa na mpenzi ambaye ulimpenda na yeye alikupenda kwa dhati lakini katika mazingira yasiyoeleweka inatokea msiwe pamoja ..umeoa,umeolewa inatokea mnapata mtoto ..kama ni wa kike husband ataomba wife naomba umpe jina la ZionD ,Bht,MJ1 ,carmel or vyovyote mradi ni jina la yule kipenzi wake wa zamani pasipo wife kujua hiyo secret
na kama wa kiume wife nae ataomba ooh honey naomba tumwite ,Nguli,Fidel,Xpin ,Geoff or vyovyote vile mradi yule wake wa moyoni aendelee kuwepo katika kumbukumbu za maisha yake
ya kweli haya...
!!!????
 
Back
Top Bottom