Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

Hivi kweli hao watu ni mabilionea au wabongo ushamba unatusumbua??

Billionaire is a person possesses at least one billion USD , EURO or POUND. (Kwa mujibu wa oxford dictionary na wikipaedia)
Hizo kwa uchache ni trilioni moja nanusu na ushee Tanzania Shillings(kwa conversion ya USD).

I like your clarification. I would aslo like to know those who are called "Billionea" in TRA are they in large tax payer list, small tax payer or just under informal sector like machingas?
 
Hata sisi tunaopenda mabillionea hatuolewi wala nini, yanini kujibana na bilionea mmoja? Kwanza the risky is too high! Akifilisika utaweka wapi uso wako!

Ndoa makaratasi tu, pete ushahidi! The real thing ni maisha unavoyafaidi either umeolewa, kimada, small house au whatever!!!!!!!!!!

Mambo ya kuolewa na Broke Hubby ni wito mjue! Unaweza kuwa unampenda hubby ila social discriminationa na segregation unaweza jikuta unajutia kujicommit kwa broke Hubby!

Automatically tu unageuka kituko na mtu wa kuepukwa na mashosti na wafanyakazi wenzio. Sasa kama you don wanna be small small people unavutaje buzi fasta of which unagraduate kutoka kuwa Muasherati hadi Mzinzi na Mzinzi hasamehewi hadi atubu kwa mume au mkewe!!!!!!!! HAPO CHACHA!!!!!!!!!!
 
Hapana mazee,

Unaweza kuwa bilionea wa dollars, Zimbabwean dollars.

Au bilionea wa Tanzanian shillings.

Which means unaweza kuwa bilionea kwa kuwa na just over $ 600,000.

Hawajasema mabilionea wa USD wala Pound wala Euro, hizo ni currencies tu.

Mkuu ningependa na wewe uniambie chanzo cha hiyo definition yako! Mimi nimekuambia wikipaedia na Oxford dictionary.
 
kupunguza na ku share sio ndio kile kile au hujui?
mi nilikuwa namaanisha kuwa nikiolewa matatizo yangu yataisha, siyo kuongezewa na ya mwingine tena.
kushare maana yake mimi nakupa baadhi ya matatizo yangu na wewe nakupunguzia yako, sikuwa namaanisha na mimi nibebeshwe tena mizigo yako rafiki
 
Tatizo ni kwamba majukumu ya ndoa huwezi kuya-commission hata ungekuwa Bill Gates...lol!!

Babu DC!!
hapo kwenye red jukumu ninalolijua ni moja tu.......
sasa si hata huko nje wanaweza kulitimiza? sasa kwa nini wasilitimize ndani pia?
 
Mkuu ningependa na wewe uniambie chanzo cha hiyo definition yako! Mimi nimekuambia wikipaedia na Oxford dictionary.

Wikipedia na Oxford dictionary links ziko wapi waliposema billionaire ni lazima uwe katika USD, GBP au Euros? How condescending!

Chanzo cha definition yangu ni number theory na kanuni za kiingereza, billionaire = mtu mwenye billion, hata kama ni mayai ya kuku ukiwa nayo billion moja wewe ni billionaire wa mayai. Sio lazima ziwe hela.

-aire is a suffix, you have legionnaires, doctrinaires etc

Soma hapa -aire | Define -aire at Dictionary.com

Ukija kwenye currencies unaweza kuwa billionaire wa currency yoyote ile, ndiyo maana wahindi wakisema Tata ni billionaire wanasema billionaire in USD, wakimaanisha kuna mabilionea wengine katika Rupia za kihindi.

So what's the biggie mtu akisema ni bilionea kwa kumaanisha ni bilionea wa shilingi za madafu? Billionaire is a unit without currency, once you say billionaire you have to specify in what currency, kwa sababu hata ukisema billionaire ni kwa hizo currencies tatu tu, tayari itabidi u specify kama ni USD, GBP au Euros. Sasa kama kimsingi ushakubali hilo, kwa nini ufunge wigo kwa hizo tatu tu?

Reasoning yako ni nini kama sio arbitrary and outdated colonialism tu?

Do the Euro, British Pound or US dollar have an oligopoly on the word billionaire?

And why exactly those three currencies and not bitcoin? or the Qatari Dinar? or the Chinese Yuan? or the Japanese Yen?

Au ni ukoko wa mkoloni tu na utegemezi usio na mpango kwenye Wikipedia?
 
Hata sisi tunaopenda mabillionea hatuolewi wala nini, yanini kujibana na bilionea mmoja? Kwanza the risky is too high! Akifilisika utaweka wapi uso wako!

Ndoa makaratasi tu, pete ushahidi! The real thing ni maisha unavoyafaidi either umeolewa, kimada, small house au whatever!!!!!!!!!!

Mambo ya kuolewa na Broke Hubby ni wito mjue! Unaweza kuwa unampenda hubby ila social discriminationa na segregation unaweza jikuta unajutia kujicommit kwa broke Hubby!

Automatically tu unageuka kituko na mtu wa kuepukwa na mashosti na wafanyakazi wenzio. Sasa kama you don wanna be small small people unavutaje buzi fasta of which unagraduate kutoka kuwa Muasherati hadi Mzinzi na Mzinzi hasamehewi hadi atubu kwa mume au mkewe!!!!!!!! HAPO CHACHA!!!!!!!!!!

Inabidi nimuandikie Papa mwenzangu atoe "Apostolic Encyclical" atangaze kufanya mwaka mzima uwe kwaresma.

Labda watu fulani wanaweza kupunguza spidi.
 
Inabidi nimuandikie Papa mwenzangu atoe "Apostolic Encyclical" atangaze kufanya mwaka mzima uwe kwaresma.

Labda watu fulani wanaweza kupunguza spidi.

Hahahaaaaaaaaaaa! People might not believe me but I MISS KWARESMA!!!!!!!!! This world is just too............. (I cant use the F word with Kwaresma)
 
Hivi hawa watu si wameooa

Riz1
Bakhresa
Mo
Abood
Shabiby
Nassoro
Asas
Diallo
Lowasa
David mosha
Mafuruki
Kimei
Rostam
 
Hivi hawa watu si wameooa

Riz1
Bakhresa
Mo
Abood
Shabiby
Nassoro
Asas
Diallo
Lowasa
David mosha
Mafuruki
Kimei
Rostam
Hans pope
Zacharia

Au nyie mnataka kutuambia kuna matajiri bongo zaidi ya hao?
 
refer
late advocate lyaga sawaya mawalla

late babu sambeke
na wengine wengi naogopa kutaja

ukiwa na pesa nyingi unakuwa huna mapenzi na ukiwa maskini unakuwa na mapenzi. Mapenzi ni faraja ya maskini kwa kuwa kumpenda mtu kimapenzi hakugharimu hata sumni.
 
Back
Top Bottom