Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

Hawaolewi hawa!Kuna dada mmoja anauza matunda,siku moja katika story nikamuuliza kama ameolewa akadai eti hakuna mwanaume wa kumuoa,yeye ameolewa na matunda!
bilioneir anauza matunda au anatoa na kupeleka nje? hebu fafanua
 
si angekuwa hata na nyumba tatu tofauti mjini
Kwa kawaida watu wengi wenye utajiri unatokana na dili chafu huwa hawaoi. Kama akioa basi jua vifaa vingi vinavyotumika kwa dili hizo atakuwa amehifadhi sehemu nyingine. Kwa mfano mtu ni jambazi anaiba magari, mabenki na michongo mingine ya kuua hata binadamu. Mtu huyo ana silaha za kila aina nyumbani na accessories zake, pia mtu huyo pengine anagushi na ana kila aina ya mihuri na headed papers za makampuni Tanzania. Mtu huyo atakuwa na mikutano mingi na majambazi wenzake ili kupanga kikosi kazi cha jambo fulani!! Je mtu huyo atathubutu kuoa mwanamke wa kudumu ambaye ni kiumbe dhaifu na wanaweza kukosana siku moja na ikafanya siri kubwa itoke nje?

Mifano mingi ipo sana na tusiende mbali tuanzie na Bob Sambeke, Mikataba angamizi ya Nyaga, marehemu wa Dar waliohusishwa na madawa ya kulevya (refer sakata la madawa ya kulevya bungeni).

Kwa hali yoyote ile the so called wafanyabiashara fake mabillionaire ambao hawajui uchungu wa biashara wana siri nyingi nyeusi na nyekundu kuliko damu ambazo ni hatari!!! Jua pia cirle yao na wanawake kwa uzinzi ni hatari. Kwa mantiki hii mke ni lazima kuwe na ugomvi hasa kwa mahawara na vimada maana jua mke ana haki na si ma--la--ya. Kwa hali hii kama ikitokea ugomvi kati ya mke na mume ni rahisi mke kutoa siri!!

HAWATAKAA WAOE KABISA!!!!!! NA wakioa wanavuna!!!!! Rest in Peace Bob, Nyaga, Mpakanjia et al...!!!
 
yaaap.
I have to say "sio wote" kabla sijang'olewa kucha
na pisipisi.

talaka ni gharama kuliko harusi.:A S 39:
ila asilimia kubwa inaonyesha wanaume huwa wanafanikiwa wakiwa ndani ya ndoa au?
 
mbona masalio yao yanasoma sifuri?

Umejuaje? Kimsingi kwa vile mabilionea ni wachache ni rahisi kuwa-pinpont.

Lakini ni maskini wengi tuu ambao hawajaoa/olewa. Shida wako wengi na huwezi kuwa pinpoint.
 
wenzenu tunataka tuolewe ili tupunguze matatizo nyie mnataka kuoa ili mshee matatizo?
kweli interesting

Hapo wote mnaongea lugha moja sema tu kila mtu anaiwasilisha tofauti, hii inanikumbusha principle/rule moja nilipata kujifunza zamani inasema "Heat gain is equal to heat lost" hii ni principle of mixture.
 
bilioneir anauza matunda au anatoa na kupeleka nje? hebu fafanua

Nilikua natoa mfano wa mwanamke muuza matunda anavyokataa kuolewa sembuse bilionea,soma post ya EMT niliyoi-quote kwa ufafanuzi zaidi!
 
Last edited by a moderator:
si angekuwa hata na nyumba tatu tofauti mjini

Mkuu Smile, ukishaweka commitment kwa wanawake kwa kuwaweka ndani jua umeoa hata uwe na nyumba tatu tofauti za kila mwanamke!! wasichotaka wao ni close commitment ambayo unaweza kumsoma na kumwelewa mambo yake. Mtu kama marehemu Bob ni hatari sana angekuwa na mke maana sidhani kama kila IGP na RPC angekuwa rafiki yake na kuzika kila ovu analofanya. Ila kwa muda alipoa sana na ninahisi katika wale watu walokanywa kutojishughulisha na crimes ni pamoja na yey Bob na kina mzee Alex Massawe. Aise Bob ni jina ambalo limeacha legacy ya aina yake!!!
 
Daaa sidhani kama kuna ukweli hapa!

Japo faraja ya maskini ni........................
 
Hivi kweli hao watu ni mabilionea au wabongo ushamba unatusumbua??


Billionaire is a person possesses at least one billion USD , EURO or POUND. (Kwa mujibu wa oxford dictionary na wikipaedia)
Hizo kwa uchache ni trilioni moja nanusu na ushee Tanzania Shillings(kwa conversion ya USD).

Hapana mazee,

Unaweza kuwa bilionea wa dollars, Zimbabwean dollars.

Au bilionea wa Tanzanian shillings.

Which means unaweza kuwa bilionea kwa kuwa na just over $ 600,000.

Hawajasema mabilionea wa USD wala Pound wala Euro, hizo ni currencies tu.
 
Smile fedha saa nyingine sio kitu kizuri kwa mfano Mawalla alikuwa na watoto tayari kuoa ni commitment ambayo ingeweza kumzuia kugegeda mademu wengine,Babu Sambeke pia ana watoto wakubwa tu sasa ya nn aoe wakati mbunye zipo nje za kutosha.Na wewe nikuulize swali je ungekubali kuolewa na watu kama wale na unajua wana strings of women for yhe sake umeolewa na bilionea?

Maskini Jamal Sambeke! Sijui ataendelea kutingisha muji wa Kilimanjaro kama Muzee ya Mr. Price City, Zumba na La liga, NB: NAE HAJAOA ATIIIII!!!!!!!!!!!! Kijana mudogo pesa mingi!
 
Back
Top Bottom