Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
refer
late advocate lyaga sawaya mawalla

late babu sambeke
na wengine wengi naogopa kutaja
 
Smile fedha saa nyingine sio kitu kizuri kwa mfano Mawalla alikuwa na watoto tayari kuoa ni commitment ambayo ingeweza kumzuia kugegeda mademu wengine,Babu Sambeke pia ana watoto wakubwa tu sasa ya nn aoe wakati mbunye zipo nje za kutosha.Na wewe nikuulize swali je ungekubali kuolewa na watu kama wale na unajua wana strings of women for yhe sake umeolewa na bilionea?
 
Sema mabilionea wa kiarusha tu,,

Dar Town, ku Ring bells ndo habari ya mjini,,, hata Liverpool imesema" You ll never walk alone"

Watu kila wekend tupo kwenye ubwabwa,,

Wana apollo wanaogopa majukumu maana pesa zao nyingi ni Chafu so wanaogopa kuoa maana zinaweza yeyuka
 
Mmhh!! ungesubiria hata msiba usahaulike kidogo, Ndugu zao hawatafurahi, sio poa kujadili mambo yao binafsi ya marehemu kwakua hayuko hai tena ili aweze kujitetea!!
 
kujenga ni kuogopa maisha.
pia umeniongezea msemo KUOA NI WOGA WA KUTONGOZAUNATONGOZA MARA MOJA UNAPIGA MIAKA KAMA 50 HIVI HA HA HA HAAAA
 
Do you.

Mabilionea wasipooa, kivyao, kama unapenda sana kuoa oa.

Watu baki wakioa au wasipooa ni haki yao ya kikatiba, sioni mtu mwenye shughuli zake kitamuwasha nini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom