Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,188
- 79,414
Jamani mi nashindwa kuelewa hivi hili suala la kuwa sole importer wa Heineken brands lina umuhimu gani kwa sisi watanzania ingali bia za Heineken and Windhoek zinakuwa overprized? Kwanini supplier atake ku-monopolize hiyo biashara kwenye soko huria je Heineken wenyewe wanahujumiwa na kitendo cha another supplier kuuza bidhaa zao kwa more volume?
Hivi Hao Mabibo wines hawajui usuluhisho wa hilo wanalopigania kila siku mahakamani? Wajenge kiwanda cha Heineken waone kama kuna mtu atathubutu kuingia mkenge wa kuagiza hizo bia maana gharama za bia hapa nchini zitakuwa ndogo na un-affordable for importers to compete (a fair trick)! Simple economics na pia itatoa ajira! na sio kutajirika kwa njia za kuwanyonya wanywaji at extorted prizes nashindwa kujua kwa nini Watanzania hawaoni hilo au mambo ya ulimbukeni kutaka kujionyesha unakunywa bia bei ya juu (though it is their choice i respect)! Sijui lini Fair Competition Commission wataona hili na kuwashushua hawa wanyonyaji?
Nawakalisha!
Waache ujinga wao si tunachotaka hizo bei za Heineken na Windhoek beer zipungue! Biashara huria sio ujinga wa monopoly wakati bei hazipungui! wajenge kiwanda waone kama kuna mtu ata-import hizo bia hio ndio solution ya matatizo yao!