Mabibi na Mabwana!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Asalaaam waaleykum wa Rahman tulahi taala wa Barakatu!!!


Tumsifu Yesu Kristu!!!


Bwana Yesu Kristo asifiwe sana!!!


1.Nitafurahi kama kila mmoja ataitikia salamu kwa Imani yake.


2. Nitajisikia raha kama nitapokelewa kama mtoto mchanga aliezaliwa leo kwa amani hadi chumbani. Nipakatwe vizuri jamani!


3. I love you all and respect anyone regardless of ones sex, title or age.

Asanteni wandugu wana JF....
 
Unafanyaga kazi zile nini...!?? za kupanda mabasi bure!??? bei ya promotion....lol!
Karibu mpaka uani..
 
aisee First Born nashukur addicts tunaongezeka jamvini..
jana nilipo kuona kwangu nilijua mwenyeji... Dah!
128 post in hours... your are a reflection of mimi kabisa...

Karibu saaana... and enjoy...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom