Mabere Marando...........

Marando ni mpiganaji wa kweli hana chembe ya kuvuruga upinzani kama mzee wa kiraracha aliyezawadiwa ubunge

Mwanamageuko una akili kwelikweli. Umewaingia wanameuzi kiujanja na tayari wengi wao wameshakubaliana nawe. Huna lolote. Wenye hekima zetu tushakujua. We hapa unataka. Wanachadema msipokuwa makini chama chenu mtakivuruga wenyewe halafu mtaanza kuwalaumu viongozi wenu kumbe mmesikiliza tu upuuzi kama huu wa kuwagawa.
Marando akishinda atapigiwa na CCM kweli lakini hiyo itakuwa kwa vile CCM si wote wanaafiki uteuzi wa dikteta Anna Makinda.
 
Ukiacha hilo la ukada, Marando ni mashine. Yaan huwezi kabisa kumlinganisha na huyo bibi wa sisiem. Kwa wabunge wenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele,hakika watamchagua mh. Marando.
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika,
Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono...
asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura :peep:

Vema tusubiri majibu...
 
jamani hapa jamvini tujaribu kua na subira, mwisho tutasema hata slaa ni kibaraka wa wakwere. Tuwe na iman na viongozi wetu then pumba zitapepetwa na mchele utabaki kwenye ungo!
 
Tuwe wakweli kwa nafsi zetu, nadhani Chadema hawana kura za kutosha kusecure hii position.
 
Back
Top Bottom