Mabere Marando njoo utueleze ya Ulimboka...

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Siku za nyma nilisoma nyuzi humuhumu JF kuwa Mabere Marando ni mwana usalama wa taifa na alikuwa ni mmoja katika watesaji wa awamu ya kwanza, na alikuwa akiwatesa wafungwa wa kisiasa huko Mafia.

Kwa hilo na kwa kuwa ni kijana wa Ikulu, aje kutwambia yaliompata Ulimboka, kunani? Kamanda tunae ndani ya nyumba halafu tunahangaika kuupata ukweli?

Mabere jitokeze ueleze...
 
Nadhani ungemwita Ridhiwani au Halfani Kikwete watoto wa jumba wakisaidiana na mumiani aka Ahmed Msangi mtoto wa mareheme Msangi Pacha wa RPC wa Simiyu
 
Kawaulize waliowashughulika kina imran kombe, kolimba, mwakyembe et al.. Nnadhani unawafahamu we zoba
 
zomba, ni siku ya tatu sasa umekuwa unatumia nguvu kubwa sana ku-shift blame za huu mkasa wa Dr Ulimboka kwa sababu unazojua mwenyewe. Inaudhi.
 
zomba, ni siku ya tatu sasa umekuwa unatumia nguvu kubwa sana ku-shift blame za huu mkasa wa Dr Ulimboka kwa sababu unazojua mwenyewe. Inaudhi.

Na wewe leo ya ngapi unapeleka huu udhalim kuwaelekezea serikali? Au ndio unashadidia nchi isitawalike?
 
Wha a Far-fetched Zombi thread of this magnitude!!! Dhaifu kabisa na wala hakuna u-Great Thinker wowote mle ndani.
 
Na wewe leo ya ngapi unapeleka huu udhalim kuwaelekezea serikali? Au ndio unashadidia nchi isitawalike?

Alafu naona umejisahau kweli kweli, hivi unafikiri hii serikali ni ya watu wachache, sababu unajitahidi kuitetea as if sisi wengine sio sehemu yake, mtizamo huu ni ushahidi tosha kwamba haujitambui, au unafikiri tumesusa, tuko hapa kusafisha serikali yetu, ni watu wachache kama nyie mnaoitetea kama vile mmeingiwa na mapepo ndio mnaongeza watu hasira.

viongozi wengi wa serikali yetu na nyie vibaraka wao mmekuwa kama vile mmerogwa, it is very interesting namna mnavyopersonalize mambo ya serikali, yaani mnabehave mkionyesha imani kubwa sana kwamba sisi tunamsimamo usiokuwa na interest yoyote ile na serikali yetu.

Kwa taarifa yako, interest yetu ndio inaongezeka kwa kasi zaidi kila ushenzi mnaoufanya unavyodhihirika.
 
Siku za nyma nilisoma nyuzi humuhumu JF kuwa Mabere Marando ni mwana usalama wa taifa na alikuwa ni mmoja katika watesaji wa awamu ya kwanza, na alikuwa akiwatesa wafungwa wa kisiasa huko Mafia.

Kwa hilo na kwa kuwa ni kijana wa Ikulu, aje kutwambia yaliompata Ulimboka, kunani? Kamanda tunae ndani ya nyumba halafu tunahangaika kuupata ukweli?

Mabere jitokeze ueleze...

Nilikuwa natarajia wakati wo wote utatuletea mbivu na mbichi kuhusiana na unyama wako, ccm, na serikali dhaifu katika sakata hili. Unaomba msaada kwa Marando? Hii dhihaka ya karne. Kumbe kukomaa kwako kote kutetea ***** humu huna kitu. Nimekudharau sana
 
Serikali dhaifu uuwa watu hilo mnapashwa kulijua ,maana they cant deliver na kila mtu anakuwa adui.Wanaogopa kutoka madarakani na hawawezi kuongoza nchi, watakuwa makuadi wa mafia, Tanzania tumeishafika hapo. Usalama wa Taifa ni wauaji wakubwa wapo kulinda viongozi dhaifu , subiri dhaifu atoke madarakani yatafichuka mambo mengi
 
Nilikuwa natarajia wakati wo wote utatuletea mbivu na mbichi kuhusiana na unyama wako, ccm, na serikali dhaifu katika sakata hili. Unaomba msaada kwa Marando? Hii dhihaka ya karne. Kumbe kukomaa kwako kote kutetea ***** humu huna kitu. Nimekudharau sana

Tunataka kujuwa hii ndio maana ya "nchi haitatawalika"?
 
Na wewe leo ya ngapi unapeleka huu udhalim kuwaelekezea serikali? Au ndio unashadidia nchi isitawalike?

The system is so bitter that Dr. Ulimboka is still alive. Why? Some of the guys can't even hide their anger. I have seen and heard some guys speaking like wounded lions! By why zomba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom