Mabenki yetu na usanii wa "hakuna network"

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362

Inawezekana ikawa ni ukweli ya kuwa kuna wakati kuna matatizo ya kimtandao na hivyo kufanya mabenki yetu kutotoa huduma kwa wateja.

Hata hivyo kwa utafiti wangu mdogo kwa baadhi ya mabenki kuna wakati hutumia uongo wa mtandao wakati ukweli ni kuwa hawana fedha kwenye hazina zao hasa kwa mabenki yaliyo mikoani. Hili hasa limekuwa sugu kwa maeneo nje ya na mikoa mikubwa kama Dsm, Ar na Mza lakini likzidi kwenye mikoa mingine kama Dom, Morogoro na kwingineko.

Sielewi ni kwa nini mabenki yanaruhusu mpaka hali hii itokee. Muache usanii kwani inaathiri watu ambao ni wateja wa mabenki yenu
 
Shida ni kwamba benki yetu haina atm za viza! Hii inachangia sana misururu ya watu na foleni benk. Laiti ingekuwepo watu wakikosa fedha wangeeenda benki nyingine
 
hakuna lolote wakichoka tu utasikia network hakuna, ama mtandano uko chini, ndio zaoooooooooo, mm najua sana sana NMB ndio zaoooo
 
hakuna lolote wakichoka tu utasikia network hakuna, ama mtandano uko chini, ndio zaoooooooooo, mm najua sana sana NMB ndio zaoooo
.
tatizo la network ni la kawaida cause bank nying zinategemea network za kampuni za simu, so kwa mfano kama ttcl au airtel network yao inamatatizo mara nyingi uaffect bank
 
Back
Top Bottom