babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Mara ya kwanza kutembelea nchi moja iliyoendelea kila sehemu niliyokwenda nilikutana na mabandiko mpaka kwenye mabaa "Caution C.C.T.V. in Operation" nikawa ninajiuliza kwa nini una mtaadharisha mwalifu, bila warning signs itakuwa rahisi kuwakamata, lakini baadae nikagundua madhumuni ni kudiscourage criminals from committing crimes.
Chance ya Graduates kupoteza hiyo mikopo ni 90%(usiniulize kwa nini) kama baadae hawezi kupata kazi kwasababu hawana vyeti ingawa wana elimu nzuri nini kitafuatia zaidi ya kuwa matapeli,majambazi,vibaka n.k?
In the long run this scheme will create waalifu ambao ni graduates