Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

kuna kitu kinaitwa KP naiman wadada wengi wanalifaham hili,asielifahamni yule asiepafom hii kitu. wengne wajaza vitu kwa jili ya KULALA POPOTE(sabuni,ndala,mafuta,viatu,nguo za kubadili,pafyum,,mswaki n.k)yani huyo nyt ikimkuta popote anaangusha.wengine wanaweka kitenge ili beg litune,wengine magazeti na vifaa ambavyo havina umuhimu wowote,wengne wakienda shopping ndogo wanajaza vitu humo..
 
Hata yule sista aliyempiga Malima alikuw na kama hili

big-handbag.jpg


Mwili wa huyu demu ni: 'inversely proportional na mkoba wake'!
 
Wakuu nimesema wakina dada tu, niny nyote mnaojb ni wakina dada?
 
Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
Hope hata nyie mnao wapenzi au wake zenu fanyeni kuyavizia mfungue na kuona humo ndani huwa kuna nn?

BTW na mipochi mikubwa au mzigo usiokua na lzm sibebi!!Zaidi ya upande wa kanga au kitenge hua sinaga maviu ya kutembea nayo kila mahala mpaka nibebe jipochi kubwa labda km nasafiri!!
 
sifa za wanawake wa mji ni hizi
.ukimuona mwanadada amevaa hijabu halafu na amebeba begi ujue anaelekea kazini na akifika ofisini anabadili nguo zake na kuvaa kimini alichokiweka kwenye begi lake....halafu anaanza kazi na ukitaka kujua nenda----corner bar sinza
 
Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....

Ndani kuna hotpot lina mihogo, ukimtoa out atakula kidoogo, mkiachana anakula kona anafungua hotpot lake anatoa mihogo anashushia na azam kola.
 
I usually carry perfume, spray, small make up kit, my diary, mtandio, hanky, novel, shades (glasses), simu, funguo.. But my purses are always of a reasonable size. Sio kubwa kama la huyo dada hapo!
 
Wengine unakuta ni wapangaji wanahama nyumba hivyo wanakua wanahamisha vitu kidogokidogo..
 
hehehe umenikumbusha kibaka aliiba hilo begi la mdada flani alipofika mbele kulifungua mna mawigi matupu halaf yalikuwa yananuka balaa, kibaka aliumwa flu wiki, na pia mlikuwa na herizi la rangi ya brown, mi nikajua maherizi yanakuwaga meusi tu kumbe teknolojia imetanuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom