Mabazazi waneemeka na mafuriko

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Wakati taifa likiwa katika hekaheka na taharuki za janga la mafuriko yanayoendelea dar na huku barabara zikiwa zimefungwa na magari hayapitiki wanaume na wanawake wakwasi(mabazazi) wamepata ahueni ya kufanyiza uzinzi wao kwa kisingizio kuwa foleni na barabara hazipitiki, magari yamezamishwa na maji kama sababu zilizowafanya kuchelewa kurudi nyumbani baada ya kurudi usiku mnene huku wengine wameamua kulala huko huko kwa mahawara zao kwa madai kuwa gari ilitumbukia darajani akashindwa kutoka hadi kutolewa akiwa hajitambui kazindukia hospitali kumekucha !!!!!!!!
 
Back
Top Bottom