MABATI YA MSAUZ au

chimala

Senior Member
Jul 2, 2010
156
30
mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar

na yanauzwa bei gani
 
mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar

na yanauzwa bei gani

ndg yangu Chimala, tulia kisha uulize swali lako. Kwa jinsi ulivyouliza naamini hata wewe huelewi vizuri unataka kujua nini!
 
mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar

na yanauzwa bei gani

Piga namba hizi 0754-323335/0716-811067/0713-800828 hawa jamaa wanayo na watakuletea mpaka mlangoni kwako.
 
mabati ya msauz au yale yanayotengenezwa hata tz ya dizaini hiyo yanapatikana wapi hapa dar

na yanauzwa bei gani

ninamfahamu mtu anayeuza hapa dar kwae bei ya chini kidogo(10,000) kwa mita. Kama hujapata msaada na bado unahtaji, nijulishe kwa pm kisha nikuachie mawasiliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom