Mabasi yale aina ya Icarus

Mr. Bigman

JF-Expert Member
May 7, 2011
2,560
1,299
Hivi UDA bado wanamiliki mabasi haya? Angalau moja linaloonekana barabarani. Nimekumbuka tu, yalikuwa maarufu sana in streets of down town Dar as well as the outskirts during 70's and 80's. Does anyone got a photo please,aweke hapa tujikumbushe!
 
Yalikuwa yanafanan na haya
ikarus.jpg

images.jpg

Ikarus za kisasa
ik.jpg
 
ndio haya haya preta yanatumika nchi za wenzetu hadi leo wameyaboresha tu
kasi sio kwamba yatakimbia km 80 kwa saa bali yatakuwa yanaenda kwa ratiba
na kufika mjini kwa wakati bila kuzuiwa na foleni
mfano kutoka ubungo hadi stendi ya mkoa ni dk 1 na kama watajitahidi kutakuwa na ratiba ya kila muda basi kupita.
kama wataagiza mabasi kutoka kampuni za setra,mercedes benz,au scania yatakuwa mazuri ni kama haya.

2busser_RUA6462%2C%20540x190.jpg
220px-Solaris_Urbino_12_Trondheim.jpg

210px-TT_448_Munkegt_270910.jpg

haya ndio yanarudi kuwa ya kasi.....?
 
Duh Iselamagazi acha uongo hiyo nauli ya tsh 5 hata mzima alikuwa halipi labda kama utapanda mabus ya watu binafsi ndiyo ungelipa 5.Nauli ya mwanafunzi ilikuwa tsh 1 tu.

Nimepanda haya mabasi miaka ya 80 mwishoni; nauli ya mwanafunzi ilikuwa Tsh. 5 ilimradi uwe na kitambulisho
 
Duh Iselamagazi acha uongo hiyo nauli ya tsh 5 hata mzima alikuwa halipi labda kama utapanda mabus ya watu binafsi ndiyo ungelipa 5.Nauli ya mwanafunzi ilikuwa tsh 1 tu.

kipindi cha masi hayo yaliweza kumudu huduma ya DAR....tatizo likawa SERVICE hakuna na SPEAR haitaki za ujanja ujanja na kipidi hicho mafundi wakweli ilikua hakuna na wale wario pelekwa HUNGARY kusomea walipoludi wao wakawa watu wa OFISI hawashiki spaner
 
Kinachonichekesha kuhusu suala zima la haya mabasi ya Ikarus ni kwamba kiongozi wa serikali aliyesimamia kununuliwa kwa haya mabasi alirudi na basi lake mwenyewe la Ikarus. Yeye akalipaka rangi ya kijani nadhani. Nyerere alipoambiwa akamwita, akamuuliza, hebu mwenzetu tueleze, hili basi umelipata kwa namna gani? Jamaa akasema nilipewa zawadi na kampuni ya Ikarus!

Nyerere akauliza zawadi kwa kazi gani uliyowafanyia Ikarus? Hapo jibu ligawa gumu kutoka. Ilibidi lile basi jamaa anyang'anywe, likakabidhiwa UDA na kupakwa rangi ya njano mara moja!

Huyo alikuwa Nyerere bwana.
 
mabasi ya kichina aina ya yutong yakieleweka kama city buses,yani kama jamaa hapo wangepewa tenda ya kushusha mabasi ya kwao,bongo kungeng'ara haswa baada ya wafanyabiashara wengi kuyanunua na kuyakubali kuwa yana kiwango na yana mudu mishe mishe ya barani africa
 
Attachments

  • Yutong_ZK6180HG_city_bus.jpg
    Yutong_ZK6180HG_city_bus.jpg
    25.6 KB · Views: 122
  • yutong 475105396_644.jpg
    yutong 475105396_644.jpg
    26.3 KB · Views: 104
  • yutong_008.jpg
    yutong_008.jpg
    24 KB · Views: 97
Kinachonichekesha kuhusu suala zima la haya mabasi ya Ikarus ni kwamba kiongozi wa serikali aliyesimamia kununuliwa kwa haya mabasi alirudi na basi lake mwenyewe la Ikarus. Yeye akalipaka rangi ya kijani nadhani. Nyerere alipoambiwa akamwita, akamuuliza, hebu mwenzetu tueleze, hili basi umelipata kwa namna gani? Jamaa akasema nilipewa zawadi na kampuni ya Ikarus!

Nyerere akauliza zawadi kwa kazi gani uliyowafanyia Ikarus? Hapo jibu ligawa gumu kutoka. Ilibidi lile basi jamaa anyang'anywe, likakabidhiwa UDA na kupakwa rangi ya njano mara moja!

Huyo alikuwa Nyerere bwana.
ushahidi wa maneno yako??!!
 
Duh Iselamagazi acha uongo hiyo nauli ya tsh 5 hata mzima alikuwa halipi labda kama utapanda mabus ya watu binafsi ndiyo ungelipa 5.Nauli ya mwanafunzi ilikuwa tsh 1 tu.

Na hayo ya binafsi yalivyo anza na nauli ya Tshs 5/=(DALA),ndipo lilipo anza jina la 'DALA DALA',na kusababisha magari mengi kuhamishwa mikoani,na kuhamia Dar,kufanya biashara ya usafirishaji!
Kwa UDA,wanafunzi ilikuwa senti 50.
 
attachment.php
hili ndilo haswa la UDA na Rangi yake

Upanga Jeshini lilikuwepo moja tulikuwa tunaliita Dudu yaani ukipanda ndani raha raha tu Mjeshi anatuzungusha mitaa ya upanga then anatushusha na kutuambia kesho tena leo tosha
 
Back
Top Bottom