MABASI kwa ajili ya wanafunzi jiji dar yako wapi?

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
ni miaka michache imepita baada ya serikali kupata mabasi kutoka kwa Benki ya CRDB na makampuni mengine kwa ajili ya wanafunzi... Sasa yamekuwa kitendawili hayaonekani wala wananchi hawajui yalipo... yalikwenda wapi?? peoplez' power tusaidieni kupata ukweli wa jambo hili... huu mfumo wa magari yaendao kasi wanatufanya tuyasahau haya magari kwa ajili ya wanafunzi.
 
Tanzania hodari kupanga na kuanzisha,kutekeleza tabu.hata mimi jana nilijiuliza yapo hayo ma bus?
 
ahadi hewa na mikakati hewa ya ccm na hakuna lolote .. Utasikia tu wamefungu wamewweka jiwe la msingi ila badae kimyaaaaaa. Watanzania nyie si wapole mnashangilia kuwekwa kwa jiwe la msingi ni akili kweli hii?
 
yale mabasi ya kihindi ... that type of a project is a complete failure ... huu mradi unahitaji sustainable subsidy to overcome daily expenses/running costs, maintenance and expansion

inachekesha sana kushuhudia benki imeshindwa mradi huu huku ikipuuzia business plan za wateja wengine waombao mikopo kwao kwamba hazifai .... kama wafadhili walitakiwa foresee prospect za mradi by any means let it be feasibility study or project appraisal
 
ni miaka michache imepita baada ya serikali kupata mabasi kutoka kwa Benki ya CRDB na makampuni mengine kwa ajili ya wanafunzi... Sasa yamekuwa kitendawili hayaonekani wala wananchi hawajui yalipo... yalikwenda wapi?? peoplez' power tusaidieni kupata ukweli wa jambo hili... huu mfumo wa magari yaendao kasi wanatufanya tuyasahau haya magari kwa ajili ya wanafunzi.

mwenyekiti wa Maganba ya D'Salaaam bw. J. Guninita ndiye pekee anayejua yaliko
 
kwa huu utawala huu hakuna kitakacho fanyika
hata hizi mbwembwe za ufunguzi wa daraja lakigamboni ni kiinimcho mtaniambia kamalisipo maliza miaka kumi bilakumalizika

unakumbuka uwanja wa ndege wa mbeya umechukua mudagani ? mkapa alizindua mwaka 2005 na leo ni mwaka gani ? hauja anza kazi

hata haya mabasi ya kwenda kasi bado sijaona mkakati halisi wakuhakikisha utafanikiwa
wadau mtaniambia baada yamiaka kathaa kama utabiri huu ni wakweli ama la

anachofanya kuwafunika wananchi iliwaone kua amefanya mambo kibao na kufunika ile issu ya mwangosi aliye uwawa iringa we fikiri ile barabara yamsata ilishajengwa karibia inaisha ite kaenda zundua
 
Back
Top Bottom