Mabasi haya mnayakumbuka?

KITMEER- Nissan diesel hizi Temeke Karia Koo/Posta Kupitia Kilwa Road.

Wale wazee wa Mbagala/Kongowe mpaka Temeke kulikuwa na ChaiMaharage inaitwa MWENDAPOLE Kia hiyo yani ilikuwa ni POLEPOLE kwelikweli wengine wanaweza wakaenda wakageuza Nyinyi amjafika Bado.
 
Kipengule - Bus la Wapare wa Ugweno (Kindovenis) likisafiri Arusha-Moshi.

Kuti Kavu likisafiri Morogoro - Dar.

Famagusta likisafiri Gongolamboto - Posta (ogopa Matapeli).

SABENA likisafiri Sikonge - Tabora au Tabora-Mbeya.

Kilamanjaro Bus? (Mabasi ya Mama Maeda wa Arusha).

Tawafiq sijui lilikuwa la wapi?
 
Kwa route ya dar kulikua na basi moja refu sana limefungwa bonge la manati mbele.
enzi hizo gari za kutoka kimara, mbezi, sinza zilikua zinaishia manzese kwenye mitumba, kituo m'buyu mmoja mkubwa hivi,
then unachukua jingine la kariako/posta.
Sasa hili ndo basi pekee lililokua linatokea mbezi moja kwa moja to kariakoo/posta
 
Sumry
Hapo nakumbuka kuna basi moja la Safina lilipata ajali mbaya sana mto Karanga Moshi......sikumbuki lilikuwa linaenda wapi.....Hiyo Air Msae a.k.a Kilimanjaro Bus......nalo lilikuwa lina tabia ya kuchinja watu sana njia ya Arusha, Moshi, Dar.......Scandinavia bana lilivyoingia ulikuwa ukilipanda unaonekana upo matawi ya mbali sana......dah......mabasi mengi nadhani yamebadilishwa majina kutokana na utovu wa nidhamu.....tunasubiri jina jipya la Sumry
Sumry hatunaye tena
 
safina ilikuwa inatokea Nairobi kuja Moshi mjini via namanga watu walitajirika kwa kukwapua marehemu hapo mto karanga
 
Basi leo ngoja niwarudishe enzi za 1980's na 1990's wakati huo nchi ikiwa haijauzwa. Palikuwa na mabasi ya Layland CD wakati huo Scania ndo dili. Mnakumbuka Mabasi haya?

Igesa Line
Kwacha
Safina
Gold Line
Widambe
Mwaafrika
Makete
Siri Yako
Super Star
Railway
Kamata
Bin Klebo Bus Service
Kiswele
Sharuks
Air Msae
Air Chalinze
No Challenge
Air Shengena
Zainab
Scandnavia
Special Video Coach
Tawaqal
Comfort Video Coach
Living Light
Yarabi Salama
Safari Master
Big Mayai
Jupiter
Mbarak
Ruvuma Tours Line
Matema Beach Coach

Unakumbuka nini hapo?
Matema Beach Sleeping Coach...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Air Msae sio Kilimanjaro Air Msae ndio Metro Coach

Back
Top Bottom