Mabango ya Kumenzi Nyerere- 14/10/2010

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
Katika hali ya kuenzi mwalimu JK Nyerere wana Jf inatubidi kuandaa mabango yatakayofikisha ujumbe murua kwa walioshindwa kumenzi Mwalimu kwa vitendo.Wanandugu tusaidieni katika hili.
Bango NO.
1.Elimu bure mpaka Chuo Kikuu inawezekana -Jk Nyerere alionyesha njia.
2.Mafisadi 31/10/2010 ndiyo mwisho -Mwalimu alipambana mpaka siku ya umauti
3.......

Jf Karibuni
 
Mabango yenye tija ni kuhamasisha wapigakura kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuchagua Chadema na Dr. Slaa.

Bila ya kufanya hivyo hayo mabango unayoyapendekeza hayatakuwa na tija vumilivu
 
Rutashubanyuma;1136504]Mabango yenye tija ni kuhamasisha wapigakura kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuchagua Chadema na Dr. Slaa.

Bila ya kufanya hivyo hayo mabango unayoyapendekeza hayatakuwa na tija vumilivu

Yakiwa pamoja na ujumbe unaopendekezwa yaweza leta tija.Changia kwa kuongeza yanayo hamasisha.
 
  1. Hatutarudi kupanga mawe na kufukuza magari ya ugawaji tena!
  2. Atakayepiga marufuku vyama vya siasa tutamnyonga or tutamnyonya tigo!
  3. Haendi mtu jela kwa sababu za kisiasa (Hanga, Titi, Babu etc)
  4. Mkimbizi wa mwisho wa kisiasa alikuwa Kambona na hatotokea mwengine
  5. No more ndala za matairi
  6. No more wallet za mifuko ya maziwa
 
Mchagueni kiongozi anayekerwa na shida/umasikini wa watu wake.
Awaambie rafikize kuwa Ikulu si pango la walanguzi
 
Makamba anatofauti gani na babu seya???
Hili bango ntalibeba hata mimi
(mods please msinibani ni hisia tu)
 
Back
Top Bottom